Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

angeongea kipindi kile bwana mungu wa kaboud yuko na pumzi yake angekabwa & kubakwa Area D mchana kweupe maana yule baba hakutaka kabisa kupangiwa ndio maana aliamua kutokupangiwa kukwepa kifo cha corona
Noma Sana.
 
"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
Kulikuwa na ubaya gani kuwarejesha walipotoka hadi uchome kuku walio hai? Ukatili mkubwa huo hata mbele za Mungu.
 
kama vipimo vimeonesha au mmepata wasiwasi si mnavirudisha tu vifaranga vya watu huko vilikotoka..
Ukisha-condemn kuwa shehena flani ya live animals or animal parts ina magonjwa flani of quarantine importance hawapokelewi tena hata huko walipotoka. Kwa hiyo Kenya isingekubali kupokea tena wale viranga kwa sababu wangeenda kueneza magonjwa kwao. Huo ndo utaratibu wa quarantine duniani kote. Ilikuwa sahihi kupiga kiberiti. Wanasiasa wasitumie ubumbumbu wao kuhadaa jamii. Watafute facts na sheria ya mipaka ya nchi. Nchi yetu ni signatory ya mikataba kadhaa ya kimataifa ikiwemo quarantine issues.
 
but nani alileta uthibitisho kuwa wana magonjwa?! nakumbuka serikali ya kenya ililaumu sana...
 
Ukisha-condemn kuwa shehena flani ya live animals or animal parts ina magonjwa flani of quarantine importance hawapokelewi tena hata huko walipotoka. Kwa hiyo Kenya isingekubali kupokea tena wale viranga kwa sababu wangeenda kueneza magonjwa kwao. Huo ndo utaratibu wa quarantine duniani kote. Ilikuwa sahihi kupiga kiberiti. Wanasiasa wasitumie ubumbumbu wao kuhadaa jamii. Watafute facts na sheria ya mipaka ya nchi. Nchi yetu ni signatory ya mikataba kadhaa ya kimataifa ikiwemo quarantine issues.

Sio kupiga moto, zipo njia zingine softly za kuwaangamiza hao vifaranga.
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Source: Swahili times
But she was second top in the system, she is part of that ushetani, leo anamkana mwenzake...... nyote na wewe mmelaaniwa
 
... kipindi hicho hayo yanafanyika alikuwa wapi?
Nani alikuwa na maamuzi ya mwisho? Hii inaonesha awamu ya 5 ulikuwa utawala wa mtu mmoja. Hata waliokuwa wakimzunguka walikuwa hawakubaliane naye, lakininhakukuwa na uwanja wa kumshauri.

Marehemu Magufuli pia aliwahi kutamka hadharani kuwa yeye hashauriwi, ukimshauri ndiyo umeharibu kabisa.
 
Kulikuwa na ubaya gani kuwarejesha walipotoka hadi uchome kuku walio hai? Ukatili mkubwa huo hata mbele za Mungu.
Hiyo nchi itakubali kuwapokea tena wakati lab test kwa upande wetu imeshadhihirisha kuwa vifaranga vile vina infestation of quarantine importance? Kenya wenyewe wapo tayari kupeleka mlipuko wa magonjwa kwao? Kupiga kiberiti ilikuwa ni suluhusho ili kuzuia magonjwa ya mifugo kuingia nchini. Ndo utaratibu wa quarantine duniani.

Ukumbuke vifaranga vile siyo vya nchi ni vya individual mfugaji, shipping ilifanyika kinyemela kati Wafanyabiashara wa pande mbili bila kufuata utaratibu. Imekuja kubainika kwamba vifaranga vina shida, Kenya itawapokea?! Never on earth. Watakwambia infestation ilitokea at the point of entry kwa bakini na mzigo wenu huko.
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Source: Swahili times
Nasimama na mama samia ....
 
"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
Acha uwongo. Vifaranga hawakuwa na magonjwa, walikosa tu nyaraka. Jambo ambalo kama tungekuwa na watendaji wenye akili, ufumbuzi haikuwa kuchoma vifaranga.
 
Back
Top Bottom