Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If there's no country that's been run at a high standard in Africa, does that give us the legitimacy to be where we are?" Huku ndiko kuwa ''mzima kichwani''?Wewe sio mzima...
Ni nchi gani Afrika imeendelea kwa kiwango kikubwa kuliko nyingine ili tuisingizie CCM kwenye hili?...
Unataka kusema nchi akipewa Mbowe itakuwa kama urusi?
Tumechelewa ndio ila nyinyi hamuwezi kufanya chechote mkipewa nchi zaidi ya kujinufaisha wenyewe.
Ndio ujue shida sio ccm...If there's no country that's been run at a high standard in Africa, does that give us the legitimacy to be where we are?" Huku ndiko kuwa ''mzima kichwani''?
Wewe ni mmoja ya nyumbu wa Magufuli huna jipya. Nchi za Asia kuna zilizokuwa nyuma kama sisi na wameendelea. Afrika ni uongozi mbovu, na Samia ni miongoni mwao.Ndio ujue shida sio ccm...
Afrika haiendelei kwa sababu nyingi za nje kuliko za ndani...
Ni kweli tuna viongozi wabovu lakini hata akipatikana mzuri hataishi...
Tukiweza kujitoa huko, maendeleo tutayaona.
Nilijua tu huna akili...Wewe ni mmoja ya nyumbu wa Magufuli huna jipya. Nchi za Asia kuna zilizokuwa nyuma kama sisi na wameendelea. Afrika ni uongozi mbovu, na Samia ni miongoni mwao.
Nilijua huna akili. Walala porini mko hivi!Nilijua tu huna akili...
Wanywa mbege hua mko hivi.
Mama yetu kukosekana kwako leo kwa kweli kumetusononesha sana sisi watoto wako. Sauti yako ilikuwa ni muhimu sana leo.
all ini all kila lakheri kwenye majukumu yako.
teh teh...Nilijua huna akili. Walala porini mko hivi!
Teh teh. Gongo ishapanda kichwani hapoteh teh...
Mbege ishapanda kichwani hapo...
Kwa hiyo kala kona?Si hamumtaki mzanzibar!
Ndio inabidi aulizwe.Maswali mengine!!