Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Wafanyakazi mbona mmemaindi mama kutohudhuria kwenye siku yenu? Mlitaka awe anahudhuria kila mwaka mfurahie kupandishiwa mishahara na kima cha juu? Msimaindi haki zenu mtapata
 
If there's no country that's been run at a high standard in Africa, does that give us the legitimacy to be where we are?" Huku ndiko kuwa ''mzima kichwani''?
 
Sawa yalitabiliwa hayo kuwa Leo ni porojo na nilipomuona Mgeni rasmi kila wakati ana tabasamu kupunga punga mikono nikajua Leo hamna kitu
 
If there's no country that's been run at a high standard in Africa, does that give us the legitimacy to be where we are?" Huku ndiko kuwa ''mzima kichwani''?
Ndio ujue shida sio ccm...

Afrika haiendelei kwa sababu nyingi za nje kuliko za ndani...

Ni kweli tuna viongozi wabovu lakini hata akipatikana mzuri hataishi...

Tukiweza kujitoa huko, maendeleo tutayaona.
 
Wewe ni mmoja ya nyumbu wa Magufuli huna jipya. Nchi za Asia kuna zilizokuwa nyuma kama sisi na wameendelea. Afrika ni uongozi mbovu, na Samia ni miongoni mwao.
 
Naunga mkono hoja.

Tatizo langu ni moja.Mhe.Mpango leo hakuainisha mikakati yoyote ya kuimarisha kipato cha mwananchi kwa kupunguza bei za bidhaa mhimu kama vile mafuta ya kula na ya petrol,vifaa vya ujenzi,sukari,umeme,maji nk.JPM alikuwa anaeleza na kufanya kwa vitendo.
Njia hii huwa naona ndiyo ya uhakika inayomgusa kila mwananchi.
 
Wadudu walikuwepo lakini waliiwakikisha vyema Serikali ya Arusha
 
Wewe ni mmoja ya nyumbu wa Magufuli huna jipya. Nchi za Asia kuna zilizokuwa nyuma kama sisi na wameendelea. Afrika ni uongozi mbovu, na Samia ni miongoni mwao.
Nilijua tu huna akili...

Wanywa mbege hua mko hivi.
 
Kwa udhuru wa ugonjwa,.hapo sawa..ila kama ni mbinu tu aisee mungu atende miujiza
 
Ahadi zimekuwa nyingi kaona anaongea lilelile kila Mei most kaona bora aingie mitini

Lakini bado anasubiriwe atamke jambo kama Makamu alivyosema.....kwiikwikwi...naona hiyo imetoka

Wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…