Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi.
Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa kiakili na utulivu wa kiakili . Hana ushamba wa kimadaraka, hakurupuki wala hana mihemko . Ni Rais mwenye Utulivu wa kiuongozi na mwenye kujua afanye nini na kwa wakati gani .
Anajua wakati sahihi wa kufanya Maamuzi,Anajua wakati sahihi wa kuchukua hatua ,anajua wakati gani aongee na wakati gani akae kimya na wakati gani azungumze nini na kwa muda gani .
Ni Rais wa Ndoto ya Watanzania,ni Rais aliyeombwa na Watanzania katika Madhabahu mbalimbali Makanisani pamoja na misikiti mbalimbali Nchini kwa muda mrefu hadi pale Mungu alipojibu Maombi.
Watanzania Tuna Rais ambaye hajawahi kushindwa vita ya Aina yoyote ile katika Maisha yake . Tuna Rais ambaye hajawahi kushuka ama kushushwa tangia alipo inuka na kuinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Ndio Maana hana ushamba wala kutetereshwa na mtu ama kishindo cha aina yoyote ile. Ana uzoefu wa kila vita na kila pambano na anajua silaha ipi itumike katika Mazingira yapi. Anajua ni Wakati gani Kikosi cha Mizinga Kisonge mbele na wakati gani askari wa miguu wakae kwa kutulia kupisha kikosi cha Mizinga kumrudisha na kumtawanya adui kifanye kazi yake .
Ndio Maana mnaona Amekuwa mbele ya wakati kwa kila kitu .amekuwa mshindi wa kila kitu na amewachezesha ngoma maadui zake na Maadui wa Taifa . Tunaongozwa na Akili kubwa na yenye Upeo wa Rada .
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.