Don't forget Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu regardless aliingiaje na anasaidiwa au kumtegemea naniMama yako anamtegemea Mzoga wa Msoga kwa kila kitu after all sii raia wa Tanganyika
Don't forget Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu regardless aliingiaje na anasaidiwa au kumtegemea naniMama yako anamtegemea Mzoga wa Msoga kwa kila kitu after all sii raia wa Tanganyika
Rais Samia alipata kura zaidi ya Million 32 sawa na 98%. Hiyo ikionyesha kiwango cha juu kabisa cha kukubalika kwake Kwa Watanzania
Mi nijuavyo Polepole ndo alikuwa anaishi kama digidigi na aliwindwa kweliTyrant of the year,the butcher!Huyo anaishi kama digidigi kwenye nchi yake!
Angalia wakati anapokea kijiti na Sasa,Hawa ni watu wawili tofauti!
Wakamkausha!Mi nijuavyo Polepole ndo alikuwa anaishi kama digidigi na aliwindwa kweli
Ndio sababu CHADEMA baada ya kukosa hoja wameamua kugeuka na kuunda kiwanda cha kutengeneza na Kuzalisha Matusi utafikiri vichaa au wendawazimuYeah,
watashindana lakini hawatashinda.
In fact,
ni kwa Neema na Baraka za Mungu, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amefanikiwa katika kila analofanya kwa manufaa na maslahi mapana ya taifa letu.
God bless and protect Dr Samia Suluhu Hassan 🙏
Haya wewe uliyepata One na aliyepata 'O' nani anapanga safu za Serikali hii mpk budget!
Watu wamerogwa kweli kwenye mambo ya vyeti. Sijui kawadanganya kupata One ndio kufanikiwa!
We unamsema mtu ana 'O' lkn akiamua usitoke ndani kwako mpk atakapokuruhusu utaufyata. Muulize Lissu na vyeti vyake lkn Samia kaamuru asote jela pamoja na div. One yake...
Umemjibu vizuri sana kama ana akili ataelewa japo sizani kama ana akiliHaya wewe uliyepata One na aliyepata 'O' nani anapanga safu za Serikali hii mpk budget!
Watu wamerogwa kweli kwenye mambo ya vyeti. Sijui kawadanganya kupata One ndio kufanikiwa!
We unamsema mtu ana 'O' lkn akiamua usitoke ndani kwako mpk atakapokuruhusu utaufyata. Muulize Lissu na vyeti vyake lkn Samia kaamuru asote jela pamoja na div. One yake...
😂😂😂Eti hajawahi kushindwa vita?
Mbona alishindwa vita ya vitabu kidato cha nne badala ya kupata daraja la 1 yeye akapata 0?
Chawa mjinga kama mjane mwenzio.
Umemjibu vizuri sana kama ana akili ataelewa japo sizani kama ana akili
😂😂😂 hapa luca akikaa mwenyewe anachekaEti hajawahi kushindwa vita?
Mbona alishindwa vita ya vitabu kidato cha nne badala ya kupata daraja la 1 yeye akapata 0?
Chawa mjinga kama mjane mwenzio.
Kashindwa ku- control her own weight!Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi.
Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa kiakili na utulivu wa kiakili . Hana ushamba wa kimadaraka, hakurupuki wala hana mihemko . Ni Rais mwenye Utulivu wa kiuongozi na mwenye kujua afanye nini na kwa wakati gani .
Anajua wakati sahihi wa kufanya Maamuzi,Anajua wakati sahihi wa kuchukua hatua ,anajua wakati gani aongee na wakati gani akae kimya na wakati gani azungumze nini na kwa muda gani .
Ni Rais wa Ndoto ya Watanzania,ni Rais aliyeombwa na Watanzania katika Madhabahu mbalimbali Makanisani pamoja na misikiti mbalimbali Nchini kwa muda mrefu hadi pale Mungu alipojibu Maombi.
Watanzania Tuna Rais ambaye hajawahi kushindwa vita ya Aina yoyote ile katika Maisha yake . Tuna Rais ambaye hajawahi kushuka ama kushushwa tangia alipo inuka na kuinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Ndio Maana hana ushamba wala kutetereshwa na mtu ama kishindo cha aina yoyote ile. Ana uzoefu wa kila vita na kila pambano na anajua silaha ipi itumike katika Mazingira yapi. Anajua ni Wakati gani Kikosi cha Mizinga Kisonge mbele na wakati gani askari wa miguu wakae kwa kutulia kupisha kikosi cha Mizinga kumrudisha na kumtawanya adui kifanye kazi yake .
Ndio Maana mnaona Amekuwa mbele ya wakati kwa kila kitu .amekuwa mshindi wa kila kitu na amewachezesha ngoma maadui zake na Maadui wa Taifa . Tunaongozwa na Akili kubwa na yenye Upeo wa Rada .
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3691392
malofa sana hayo majamaa,Ndio sababu CHADEMA baada ya kukosa hoja wameamua kugeuka na kuunda kiwanda cha kutengeneza na Kuzalisha Matusi utafikiri vichaa au wendawazimu
Ni kuyashikisha adabu tumalofa sana hayo majamaa,
yanadhani matusi yao yanaweza kumzuia Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na serikali sikivu ya CCM kufanya kazi mchana na usiku na kuhakikisha kila mTanzania ana nufaika na kazi kubwa ya maendeleo inayofanyika hivi sasa
Na bado,Ni kuyashikisha adabu tu
Hii imenifanya nijiulize kitu…Mjinga mmoja weee!!.
Nani asojua, amekua wakubebwa bebwa Kwa jinsia na uzanzibar?.
Hivi shemeji unakunywaga smart gin na biscuit za sayona?Rais Samia alipata kura zaidi ya Million 32 sawa na 98%. Hiyo ikionyesha kiwango cha juu kabisa cha kukubalika kwake Kwa Watanzania
Bajeti inayotumika Tz ni ile aliyosaini Samia.Mimi najipangia safu yangu ya maisha sihitaji kupanga safu ya mawaziri ambao 100% ni kazi ya uchawa, kwa akili ile Samuya anajua kupanga bajeti ya kuuza bandari na vitu vingine vya kifisadi ndio maana wote walioonekana wanatumia akili zao kwake ni tishio wanaundiwa zengwe kuwa wamejiuzulu, wengine aliwafukuza , wengine walitekwa na kupotezwa.
Wala sijui uliko. Lakini kwa Amri ya Samia kama Amiri Jeshi Mkuu aliposema sitaki kuona mtu nje hakuna cha Mwanaharakati, CCM, CHADEMA, Askofu wala TEC kila mmoja aliufyata. Na hata akisema hataki Mikutano wala Maandamano wewe utaishia kulalama mitandaoni tu.Unavyosema Samuya akiamua nisitoke ndani unafahamu niko wapi hadi useme yeye anaweza kuamua nitoke au nisitoke?
Labda hujui. Kuwa Rais sio lazima uchaguliwe. Na Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu mpk 2030 au Mungu aamue vinginevyo, bila kujali aliingiaje MadarakaniMwisho huyo Samuya alichaguliwa na nani kuwa rais , na thibitisha hapa .
HapanaHivi shemeji unakunywaga smart gin na biscuit za sayona?