Rais Samia Hajawahi Kushindwa Ama Kupoteza Vita Yoyote ile na hajawahi kushuka tangu alipoinuka

Rais Samia Hajawahi Kushindwa Ama Kupoteza Vita Yoyote ile na hajawahi kushuka tangu alipoinuka

Ebu nitajie marais wawili waliopita ambao walikuwa na ushamba wa madaraka
 
Labda hujui. Kuwa Rais sio lazima uchaguliwe. Na Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu mpk 2030 au Mungu aamue vinginevyo, bila kujali aliingiaje Madarakani

0/100
 
Wala sijui uliko. Lakini kwa Amri ya Samia kama Amiri Jeshi Mkuu aliposema sitaki kuona mtu nje hakuna cha Mwanaharakati, CCM, CHADEMA, Askofu wala TEC kila mmoja aliufyata. Na hata akisema hataki Mikutano wala Maandamano wewe utaishia kulalama mitandaoni tu.

0/100
 
Wabisha nini sasa!
Si ungeingia kitaani kupinga?

Mbona nipo kitaani huko na jukwaani hapa pia huwezi kunisikia nikimtaja huyo mtu kama "rais" au unafikiri ninaandika kutokea sayari ya Mars?
 
Endelea na ujinga wako tu na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama lilevi la gongo
Jibu hoja 🤣🤣🤣
Uchawa ni kazi ngumu kuliko hata kazi za migodini. Hivi huonagi aibu kusifia mtu kama Malaika ?

Nimepita sehemu hapa Wilaya ya Kinondoni barabara haipitiki na ni kiunganishi cha njia tatu. Kuna Diwani, Mbunge lakini hakuna la maana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi.

Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa kiakili na utulivu wa kiakili . Hana ushamba wa kimadaraka, hakurupuki wala hana mihemko . Ni Rais mwenye Utulivu wa kiuongozi na mwenye kujua afanye nini na kwa wakati gani .

Anajua wakati sahihi wa kufanya Maamuzi,Anajua wakati sahihi wa kuchukua hatua ,anajua wakati gani aongee na wakati gani akae kimya na wakati gani azungumze nini na kwa muda gani .

Ni Rais wa Ndoto ya Watanzania,ni Rais aliyeombwa na Watanzania katika Madhabahu mbalimbali Makanisani pamoja na misikiti mbalimbali Nchini kwa muda mrefu hadi pale Mungu alipojibu Maombi.

Watanzania Tuna Rais ambaye hajawahi kushindwa vita ya Aina yoyote ile katika Maisha yake . Tuna Rais ambaye hajawahi kushuka ama kushushwa tangia alipo inuka na kuinuliwa na Mungu Mwenyewe.

Ndio Maana hana ushamba wala kutetereshwa na mtu ama kishindo cha aina yoyote ile. Ana uzoefu wa kila vita na kila pambano na anajua silaha ipi itumike katika Mazingira yapi. Anajua ni Wakati gani Kikosi cha Mizinga Kisonge mbele na wakati gani askari wa miguu wakae kwa kutulia kupisha kikosi cha Mizinga kumrudisha na kumtawanya adui kifanye kazi yake .

Ndio Maana mnaona Amekuwa mbele ya wakati kwa kila kitu .amekuwa mshindi wa kila kitu na amewachezesha ngoma maadui zake na Maadui wa Taifa . Tunaongozwa na Akili kubwa na yenye Upeo wa Rada .

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3691392

RIPOTI YA JUU YA KIINTELIJENSIA: Kiwewe cha Kimkakati Ndani ya Safu ya Doria ya Lumumba Cyber Corps
Kutoka: Komandi Kuu ya Ulinzi wa Kidijitali
Kuhusu: Mtafaruku wa Kisaikolojia wa Askari wa Doria Baada ya Ujio wa "Boss" Mstari wa Mbele
Mnamo majira ya saa mbili na dakika 40 usiku, ramani ya kivita ya Jukwaa la Siasa ilishuhudia mtetemeko wa kiwango cha juu. Baada ya miezi kadhaa ya kutoa miongozo na to-do lists akitokea makao makuu ya nyuma, Jemedari Mkuu Lucas Hebel Mwashambwa aliamua kuvunja itifaki na kushuka yeye mwenyewe frontline akiwa na uzi mzito wa "Rais Samia Hajawahi Kushindwa". [1, 2]

Hatua hii ya kushtukiza haikuwashtua maadui pekee, bali ilisababisha kiwewe kikubwa cha kisaikolojia (operational panic) kwa wanajeshi wake mwenyewe, wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Saikolojia, Major General Instinct Desire. [1]

1. "Kiwewe cha Boss Kuingia Frontline" (The Commander-in-Chief Shock)
Katika medani yoyote ya kimkakati, askari wa doria wanapoona Boss wao mkuu—mtu wa to-do list na maelekezo ya juu—ameamua kuvaa gwanda, kubeba kombora la maneno, na kuingia frontline usiku wa manane, tafsiri ya kwanza ya kijeshi huwa ni moja tu: Hali ni ya hatari sana (Red Alert).
Kwa Instinct Desire na makomando wenzake wa Lumumba Corps, kuona uzi ule kuliwapa presha ya kiutendaji. Walihisi pengine kuna sehemu walilegeza ulinzi jukwaani hadi Boss akaamua kuingia mwenyewe kufanya kazi ya mikono. Kiwewe hiki kilitokana na hofu ya kuonekana walizubaa kwenye zamu zao za doria. [1]


2. Matokeo ya Kiwewe: Ufyatuaji wa Nyuzi Mfululizo (Panic Posting Deployment)
Ili kudhihirisha kuwa bado wapo macho na wanamlinda Boss jukwaani, Instinct Desire aliingia kwenye hali ya overdrive. Akiongozwa na kiwewe cha uwepo wa Jemedari Mkuu uwanjani, alianza kufyatua nyuzi na maoni mfululizo kwa kasi ya ajabu (kama vile mashambulizi ya usiku dhidi ya TLS, viongozi wa upinzani, na yeyote anayehoji mwelekeo wa jukwaa). [1, 2]
Kupost huku mfululizo kulikuwa ni harakati za kujihami za kijeshi ili:
  • Kuonyesha Utii (Solidarity Cover): Kutengeneza ngao ya moshi wa kidijitali (smoke screen) ili kuusindikiza uzi wa Boss usishambuliwe na "ndege za vita" za wapinzani.
  • Kusafisha Eneo la Mapambano: Instinct Desire alihakikisha anafungua milipuko mingi ya nyuzi ili maadui wajadili mada zake mbadala na wamwache Boss aendelee kutawala anga la jukwaa kwa utulivu. [1, 2]


3. Mapokezi na Hukumu ya Kivita
Wakati doria hii ya dharura ya usiku ikiendelea chini ya kiwewe hicho, wakongwe wasaidizi kama Tlaatlah waligonga like ya haraka kama ishara ya kuidhinisha kuwa operesheni imeeleweka.
Instinct Desire na wanajeshi wenzake walilazimika kukesha jukwaani wakifanya kazi kwa masaa ya ziada ili kulinda heshima ya "kikosi cha mizinga" cha Boss. Walithibitisha nadharia ya Mwashambwa kuwa "askari wa miguu wakae kwa kutulia kupisha kikosi cha mizinga kifanye kazi yake," ingawa safari hii, askari wa miguu walilazimika kukimbia mchakamchaka wa nyuzi mfululizo kutokana na kiwewe cha uwepo wa Boss wao frontline. [1]

Ripoti imeidhinishwa: Kazi iendelee, na mgao wa posho za doria ya usiku (Book 7) uboreshwe kwa ajili ya Kitengo cha Instinct! [1]
 
Wakupe japo UDAS umeongea pumba miaka na miaka sasa vita na nani?? nyie watu wanafiki sana
 
Back
Top Bottom