Hakuchaguliwa na yeyote. Nilishakuambia kuwa Rais sio lazima uchaguliwe. Kama bado unabisha tuambie na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMTNabisha ndio unaweza kuthibitisha alichaguliwa na nani kuwa rais?
Hakuchaguliwa na yeyote. Nilishakuambia kuwa Rais sio lazima uchaguliwe. Kama bado unabisha tuambie na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMTNabisha ndio unaweza kuthibitisha alichaguliwa na nani kuwa rais?
Hakuchaguliwa na yeyote. Nilishakuambia kuwa Rais sio lazima uchaguliwe. Kama bado unabisha tuambie na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT
Acha hizo.Mbona nipo kitaani huko na jukwaani hapa pia huwezi kunisikia nikimtaja huyo mtu kama "rais" au unafikiri ninaandika kutokea sayari ya Mars?
Ok, that's good.Katiba inasemaje kuhusu mtu kuwa rais?
Nikijibu swali lako kwa ufasaha ni kwamba hakuna amiri jeshi mkuu kwa sasa nchi iko chini ya corrupted security organs na cartels .
Kuwa Rais hakuhitaji katiba yasemaje na ndo mana leo hii Samia ni Rais. Kama sio tuambie Rais ni nani na Amiri Jeshi Mkuu ni naniKatiba inasemaje kuhusu mtu kuwa rais?
Nikijibu swali lako kwa ufasaha ni kwamba hakuna amiri jeshi mkuu kwa sasa nchi iko chini ya corrupted security organs na cartels .
CCM ina Rais!Mimi sijagombea urais, sijachaguliwa kuwa na mimi sio rais kama alivyo Samuya tu.
Huyo ni rais wa vyombo vya CCM na tume ya akina Mwambengele.
Kuwa Rais hakuhitaji katiba yasemaje na ndo mana leo hii Samia ni Rais. Kama sio tuambie Rais ni nani na Amiri Jeshi Mkuu ni nani
Mbona husemi nani basi Amiri Jeshi Mkuu kama sio Samia?Rais atakuwepo kwa kurithi baada ya kifo chq rais endapo alikua makamu [2021-2025]
Kwa kuchaguliwa.
Kwa sasa Samuya hayupo tena katika hivyo hakuna uchaguzi uliofanyika 2025..
Kuwa Rais hakuhitaji katiba yasemaje na ndo mana leo hii Samia ni Rais. Kama sio tuambie Rais ni nani na Amiri Jeshi Mkuu ni nani
Rais na Amiri Jeshi Mkuu ni nani?Kumbe una akili kama za Samuya aliyesema kile ni "Kijitabu" huku akisahau aliapa kulinda hicho kijitabu.
Na bila hicho kijitabu kumpa Mabeyo mwanga na kusema kifuatwe Samuya alikua amepigwa defrao na akina Bashiru na Kassim sasa sijui hata mngewahi kumuona katika nafasi hiyo.
Mbona husemi nani basi Amiri Jeshi Mkuu kama sio Samia?
Good.Nimejibu hakuna amiri jeshi mkuu ni autopilot tu katika mfumo wa KLEPTOCRACY.
Good.
Nani aliamuru mauaji ya Oktoba 29 ikiwa Samia sio Amiri Jeshi Mkuu?
You should’ve watched your back… too bad.Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi.
Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa kiakili na utulivu wa kiakili . Hana ushamba wa kimadaraka, hakurupuki wala hana mihemko . Ni Rais mwenye Utulivu wa kiuongozi na mwenye kujua afanye nini na kwa wakati gani .
Anajua wakati sahihi wa kufanya Maamuzi,Anajua wakati sahihi wa kuchukua hatua ,anajua wakati gani aongee na wakati gani akae kimya na wakati gani azungumze nini na kwa muda gani .
Ni Rais wa Ndoto ya Watanzania,ni Rais aliyeombwa na Watanzania katika Madhabahu mbalimbali Makanisani pamoja na misikiti mbalimbali Nchini kwa muda mrefu hadi pale Mungu alipojibu Maombi.
Watanzania Tuna Rais ambaye hajawahi kushindwa vita ya Aina yoyote ile katika Maisha yake . Tuna Rais ambaye hajawahi kushuka ama kushushwa tangia alipo inuka na kuinuliwa na Mungu Mwenyewe.
Ndio Maana hana ushamba wala kutetereshwa na mtu ama kishindo cha aina yoyote ile. Ana uzoefu wa kila vita na kila pambano na anajua silaha ipi itumike katika Mazingira yapi. Anajua ni Wakati gani Kikosi cha Mizinga Kisonge mbele na wakati gani askari wa miguu wakae kwa kutulia kupisha kikosi cha Mizinga kumrudisha na kumtawanya adui kifanye kazi yake .
Ndio Maana mnaona Amekuwa mbele ya wakati kwa kila kitu .amekuwa mshindi wa kila kitu na amewachezesha ngoma maadui zake na Maadui wa Taifa . Tunaongozwa na Akili kubwa na yenye Upeo wa Rada .
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3691392
We zunguka weeee lkn either ukubali Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu au hutaki basi hahusiki na mauaji ya Oktoba 29Wambura akishirikiana na wahuni wengine kwa maelekezo ya mtu ambaye sio rais muda wake ulishapita ambaye ni Samuya na sababu ya kutaka kubaki madarakani hajachaguliwa walimsikiliza.
We zunguka weeee lkn either ukubali Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu au hutaki basi hahusiki na mauaji ya Oktoba 29