PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jeshi mjiandae na uchaguzi. Toka lini jeshi likashirikishwa kwenye uchaguzi?
 
Kwani Hitra Fraun na wengine walikuwa wakiuwa wenyewe,Samia ni muislaam pamoja na kuwa ccm anafaham inside out dhima alionayo ya mauwaji kujibu kwa Allah, wewe Tlatlaa Kabudi hamtakuepo kumsadia lolote.
 
Samia anaongoza chama cha kikomunist cha ccm. Wakomunist wanatabia ya kukataa maovu yao wanayofanya hata yakidhihirika wazi.
 
Mikono ya Rais wetu ni safi kanisa na haijawahi Kuondoa Maisha ya Mtu yeyote yule
 
Nathibitishha rais Samia alikuwa ngerengere wakati watu wanauwa a
Hapo October 29
Nathibitishha kuwa raisi wa Tanzania aliiua watu
Raisi
 
Wewe mjinga wale askari walikuwa wanafuata Amri ya amiri jeshi mkuu yupi?Samia ni muuaji na damu hulipwa kwa damu lazima alipie wewe mjinga
 
Samia anaongoza chama cha kikomunist cha ccm. Wakomunist wanatabia ya kukataa maovu yao wanayofanya hata yakidhihirika wazi.
CCM ni Chama Cha Majambazi wala hata kwenye ukomunisti hawamo, hili ni genge maslahi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola
 
Awe ameua au hajaua ulitaka hizi lawama zimuendee nani ikiwa yeye ndiye mkuu wa nchi?.
 
Wee dogo unaishi kweny ulimwengu wa kale sana 🤣🤣🤣dunia inaenda kas nyie bado mpo kweny analogy. Technology inatawala kila kitu kilichozungumzwa na kutendwa kipo kwa kila mtu kweny data servers 🤣🤣🤣🤣!! Yaan mnaipeleka bongo kama enzi za mwaka 47 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…