PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Tusibiri ushahidi kwa maono ya watalaamu kesi za mauaji zinamuhusu. Na acha kudanganya na Mama yako Muuaji. Alisema apewe ripoti ya mauaji ya Kibao ripoti iko wapi wewe ladyboy
 
na hata wahi kuja kutoa amri kama hiyo katika utawala wake madhubuti na imara sana, unaozingatia na kufuata misingi ya kisheria, demokrasia na utawala bora, barani africa.
Nikweli komredi alietoa amri alikuwa ni ni suguHeche akisaidiwa na rais WA Kenya uhuru odinga
 
Nikweli komredi alietoa amri alikuwa ni ni suguHeche akisaidiwa na rais WA Kenya uhuru odinga
Gentleman,
mvuta bangi heche alitoa amri kudhulumu uhai wa a.kibao , lakini pia alitoa amri ya kutaka kudhulumu uhai wa Sigara Mligo pale Njombe lakini ikashindikana,

nadhani hayo mengine ni porojo zako binafsi tu za kubuni gentleman 🐒
 
MADARAKA YA KULEVYA, MTU ASIYE NA AKILI HAWEZI KUONGOZA TAIFA,

MTU ASIYE NA AKILI AKIONGOZA TAIFA HEKIMA HAKUNA, BUSARA HAKUNA

MTU ASIYE NA AKILI AKIONGOZA TAIFA HUJIKUTA AMEUA KWA MIHEMKO

MTU ASIYE NA AKILI AKIONGOZA TAIFA HUJIKUTA AMEUA BILA KUKUSUDIA

TAIFA HUONGOZWA NA WATU WENYE AKILI, HEKIMA NA BUSARA
 
Rais wetu Mpendwa ana uchungu mKubwa Sana na Maisha ya watanzania na uhai wa kila mmoja wetu
Hana uchungu...

She's a murderer, a killer...

She deserves no respect from a civilized national an international community..

Huyu mwanamke ni shetani mwenyewe ktk umbo la mwanadamu mwanamke
Ndio sababu amekuwa akikemea matukio yote ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Shetani hawezi kujikemea mwenyewe...

Wapi amefanya hivyo, kupanua mdomo wake kukemea utekaji, wizi wa kura, ufiraji na mauaji ya maelfu ya dada, kaka, mama na baba zetu ya tarehe 29/10/2025 ili yeye apewe cheo cha u-Rais haramu na dhalimu...???
Ndio maana amekuwa akiunda tume mbalimbali ikiwepo tume ya haki jinai ili kuja na majibu sahihi na majawabu ya kusaidia kuponya Taifa letu dhidi ya wenye makovu na majereha mioyoni mwao.
Tume za kujaribu kumsafisha kinyesi alichojinyea mwenyewe...!!??!!???

Don't be stupid and foolish dude...

Rais muuaji wa raia wake mwenyewe hawezi kujiundia tume au chombo cha kujichunguza mwenyewe...

Nasema hivi tena na tena.👉🏻👉🏻👉🏻Toa upuuzi na ujinga wako hapa. Sisi wenzio sio wajinga kama nyie na tumekataa kuwa wajinga sasa na hata milele...!!
Mwisho niseme huna adabu wala akili wala heshima na umejaa Laana ya wazazi wako.
Mliolaaniwa ni;

MOSI: Ni huyu mama muuaji mnayemwita "Rais wenu.."

PILI: Ni wewe na wenzako wote wajinga na wapumbavu mnaotetea uovu na maovu unaofanywa na wanaojiita "viongozi" wakati ni mashetani na hayawani wakali ktk ngozi ya kondoo..

SISI wenzako tumebarikiwa kwa baraka zote za rohoni na mwilini katika Yesu Kristo aliyefanyika laana kwa ajili yetu kwa kusulubiwa msalabani...

Maneno yote ya laana yakurudie wewe sawia na kizazi chako ktk Jina la Yesu Kristo, AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Rais siyo sawa na Mama yako
Absolutely, sio sawa na KAMWE HAWEZI KUWA SAWA NA MAMA YANGU MZAZI..!

Mama yangu hajawahi kuua binadamu mwenzake. Huyu unayemwita "Rais" wako, mama yako ni muuaji anayestahili kuuwawa vilevile maana imeandikwa
Mwanzo 9:6 SUV
"....Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu..."​
Kama unakosa adabu kwa Mama yako mzazi basi jaribu kumheshimu Rais wetu
Respect is not demanded, Respect must be earned...

Kama huijui lugha hii, nimesema hivi👉🏻: HESHIMA HAIOMBWI WALA KULAZIMISHWA, HESHIMA HUMFUATA MTU AUTOMATIC KWA KUWA ANAKUWA AMEFUNGULIA MFEREJI WA HESHIMA KUTIRIRIKIA KUMFUATA..

Mwambie hivi, kama anataka heshima, aanze kujiheshimu mwenyewe na kuheshimu utu na uhai wa wengine kwanza. Na zaidi sana aishi maisha yanayopalilia heshima yake maana "tunasikia" kuwa yeye mwenyewe hapo alipo ni msagaji (lesbian) anayeshiriki ngono za jinsia moja..

Unaanzia wapi kumheshimu mwanamke muuaji na mpuuzi na mchafu kama huyu..????

Please, give me a break....

Huyu mama ni Jezebel, mwanamke hatari, muuaji na mharibifu wa kila kitu...

Huyu anastahili kukemewa na kushutumiwa na kila mpenda haki popote awapo na atakapopita...
 
Ataenda kujibu mahali husika hii sio kazi yako chawa, get life

Mmepanick eh, chuzi linaelekea kumwagika? Ndio maisha chawa kuimba kupokezana. Wakati mnakula wengine mmechoma, wengine mmezika, wengine mmeteka, wengine mmewafunga jela zamu yenu mnaipika wenyewe labda Kama mna mkataba na Mungu, karma au allah
 
Tusibiri ushahidi kwa maono ya watalaamu kesi za mauaji zinamuhusu. Na acha kudanganya na Mama yako Muuaji. Alisema apewe ripoti ya mauaji ya Kibao ripoti iko wapi wewe ladyboy
Uwe na adabu kwa mamlaka
 
Tusibiri ushahidi kwa maono ya watalaamu kesi za mauaji zinamuhusu. Na acha kudanganya na Mama yako Muuaji. Alisema apewe ripoti ya mauaji ya Kibao ripoti iko wapi wewe ladyboy
Uwe na adabu kwa mamlaka
 
Rais Samia ni Akili kubwa mwenye hekima zaidi ya Mfalme Sulemani, mwenye Busara , unyenyekevu, uzalendo, maono na uwezo mkubwa wa kiuongozi
 
Wee mwehu kwahiyo wale watu waliuawa kwa amri ya Chalamila siyo? Kenge mwehu
Jitu lenyewe liliisha jichetua akili kitambo kisa uchawa promax hilo neno kenge mwehu linaingia na kutoka upande wa pili.
Njaa mbaya sana.
 
Jitu lenyewe liliisha jichetua akili kitambo kisa uchawa promax hilo neno kenge mwehu linaingia na kutoka upande wa pili.
Njaa mbaya sana.
Ondoa Hasira zako hapa wewe au kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…