PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tanzania sio nchi ya kikristo kwaiyo Kanisa haiwezi kubabaisha serikali, kwanza wakristo wenyewe wako matabaka mengi tu na wengi wao hawakubaliani na tabia za TEC.Hawa tec wanatakiwa wabanwe kwenye kodi tu sasa halfu tuone jeuri yao.
Nashangaa HAWABANWI Allah Samia anaogopa nini?

Mbona Gwajima kanisa lilifutwa mara moja tu.
 
Tanzania sio nchi ya kikristo kwaiyo Kanisa haiwezi kubabaisha serikali, kwanza wakristo wenyewe wako matabaka mengi tu na wengi wao hawakubaliani na tabia za TEC.Hawa tec wanatakiwa wabanwe kwenye kodi tu sasa halfu tuone jeuri yao.
TEC wabanwe kwenye kodi unachekesha, hulijui Kanisa na bajeti yake. Mwambie alifute aone.
 
Wewe proo Iran lini umekuwa mtu wa kanisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…