1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
wanongo wanafki sana mnajua kubadili maana ilii kuongezea uzito jambo amegombana wapi na kanisaa ss
Tusimungunye maneno ,Hakuna Mzanzibari anayependa Kanisa .
Never on earth .
wanongo wanafki sana mnajua kubadili maana ilii kuongezea uzito jambo amegombana wapi na kanisaa ss
Gwajima kanisa gani? Gwajima ni muhuni tu، unakumbuka yale matusi yake kwa Pengo?
Umeandika mambo mengi utumbo mtupu, Gwajima alimtukana Pengo kwasababu Pengo alisema Waislam waachiwe mambo yao ya mahakama ya Kadhi wapange wanavyotaka, sasa Gwajima kwa chuki zake kwa uislam (si mara moja huonesha chuki fuatilia utaona) ndio akamtukana kwanini aruhusu waislam wawe na mahakama yao eti kisa serikali itatoa ruzuku anasahau kuna MOU katika ya makanisa na serikali. Ndio maana tunakaa kimya kwasababu kuna mengi ya UNAFIKI yapo kwenu nyinyi MAKAFIRI.Alimwambia ukweli maana Pengo alionyesha unafiki.
Unafiki ni dhambi hata kwa dini ya shetani unafiki umekatazwa ndio maana hata shetani hataki wanafiki .
Qorani ina aya ya kukemea Wanafiki .
Pengo alikanusha waraka wa kanisa katoliki kama Taasisi . Pengo alionyesha mahaba yake kwa CCM kuliko haki .
Ukifika Gerezani wafungwa wengi na mahabusu ni watu maskini na wengi wakiwa wamefungwa kwa sababu ya kutokujua sheria yaani wengi wamekosa haki zao .
Hilo linawaathiri sana watu wa dini zote lakini leo kuna machawa wanajitokeza kupinga masuala ya kudai haki na kuweka usawa wakati wa kuchagua viongozi ili anayeshinda atangazwe .
Hivi Samia yule aliyeingia madarakani kwa kusema yeye ni muislam hataki dhulma ndio huyu wa leo ?
Samia aliyesema hataki hata pesa za kuonea madereva huko barabarani zitegemewe kwenye mapato ya serikali ndio bado msimamo wake ?
Samia aliyesema kuwa Wapinzani rudini nyumbani tufanye siasa za maridhiano na kufanya Reforms kwenye katiba ndio Samia yule ?
Samia aliyesifiwa na Kanisa , wapinzani mpaka akapewa zawadi na BAWACHA ndio huyu wa leo ?
Samia aliyetoa mfano hai wa yeye Mwenyewe kunyanyaswa na polisi ndio yule mpaka sasa?
Samia aliyekua mwanaharakati wa kudai haki sawa ndiye huyu wa leo ?
Nini limebadilika Dr. Samia na kuwa kama Magufuli katika kuwabana wakosoaji lakini sio katika kuwabana mafisadi na kulinda rasilimali za umma ?
Kwa nini ana kuwa mkali kwa wakosoaji lakini anafumbia macho mali za umma na haki za watu wanyonge kudhulumiwa .?
Gwajima hana kosa lolote alilofanya na hajawahi kuwa na kosa lolote zaidi ya kukemea makosa na dhambi kwa wetu wote .
Gwajima ni kiongozi wa dini lakini ni mzalendo anayejali haki maana bila haki hata hao mapolisi wanaopiga watu huko makazini kwao hawatendewi haki katika ajira zao .
Bila haki hata wanajeshi hawatatendewa haki kwa Mujibu wa Mahitaji na haki zao kimataifa nao watadhulumiwa haki zao huko jeshini na hawatakua na pakusemea na wakisema wataitwa wachochezi na wapinzani . Wataumizwa kwa sababu kuna kundi dogo linatumia dola kwa manufaa yao binafsi huku wengi wakiwa wanaumizwa?
Wanawake wengi humu ndani mnaanzisha matusi, mkijibiwa mnareportNunua tango,jipake mafuta,siyo lazima wakufanyie
La saba huwezi kuelewaPeleka ucenge wako wa kiingereza kwa wacenge wenzio
Sometimes Binadamu unaweza Fanya kitu nje ya uwezo wako, yahani ukajikuta unafanya pasipo utashi wako...Kuna vitu Mungu anaachilia vifanyike Kwa makusudi makubwa Sana.Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Nashindwa kuelewa kwamba gwajima na kanisa ni vitu haviingiliani wao wadeal na mtu mwenyewe na sio taasisiKwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Wewe dada mbona una hasira hivyo? Kwani hapo ameandika kuwa gwajima ni kanisa au kanisa ndio lililofungiwa ?Yani Gwajima kawa Kanisa? Acha kuridhihaki Kanisa lofa wewe.
Mafuta yapi?Kuna kikundi kitakimbilia msituni. Pesa za mafuta ni nyingi na aibu itokanayo ni kubwa.
Kukomoana....lakini sioni kosa la Gwajima.....alioshauri kile ambacho wananchi wengi wamekisemea kwa muda mrefuNashindwa kuelewa kwamba gwajima na kanisa ni vitu haviingiliani wao wadeal na mtu mwenyewe na sio taasisi
Hana kosa ila serikali yako ndiyo imeona kosaKukomoana....lakini sioni kosa la Gwajima.....alioshauri kile ambacho wananchi wengi wamekisemea kwa muda mrefu
Uonevu sana huuHana kosa ila serikali yako ndiyo imeona kosa