PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima kanisa gani? Gwajima ni muhuni tu، unakumbuka yale matusi yake kwa Pengo?
 
Gwaji boy aache uoga amefuatwa na polisi awasikilize kwanza aache kulichafua jeshi la polisi. Kuna kauli ameisema "Tunaona defender hatujajua ni polisi au ndo watekaju wenyewe" Hii kauli imekaa vibaya sana na huyu jamaa analikosea sana jeshi letu kulifananisha na watekaju.
Sasa watekaji ni kina nani?polisi mbona hawadeal na Jao watekaji?
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!

ni shetani/ibilisi pekee awezaye kujaribu kulishambulia kanisa. Na shetani mwenyewe alishashindwa na Bwana Yesu kupitia kazi ya msalaba.

wamefungia na kulishambulia kanisa ili sababu ya anguko lao ipatikane. Mungu ajitwalie utukufu wake

stay tuned!
 
Wewe ndio ulitakiwa ubaki huko huko polini kama umekuja Dar inamaana umewafuata waislam kwahiyo usiwapangie Sheria kama unakereka Rudi kwenu

Hilo jina lenyewe Dar es salaam limetolewa ndani ya Quran
Ni laana kwa kweli kukaa karibu na misikiti, hakuna ustaarab wowote. Wakiamua tu utasiikia mpuuzi anawasha lispika na kupiga kelele kama kichaa vile.
 
Back
Top Bottom