PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama ilivyo damu ya Azory ndivyo itakavyokuwa damu ya mdude ulipewa uwaongoze hukupewa uwaue.
Hakuna damu inayoenda bure bila majibu.
Huwezi fadhili kikundi cha wauaji na wabakaji Mungu akakuacha tu.
 
Laws of nature haikosei haibagui wewe ni farao,wwe ni Hitler una dini hauna dini,unaamini au amini,
 
Wabongo wanaamini sana miujiza.
Kagame keshafungia makanisa mengi, baada ya kufungia miujiza iliyotokea anapata nchi nyingine ya kutawala Jamuhuri ya Kivu.
 
Nimeamka asubuhi naangalia habari nataka kuingia x nashangaa hailodi, kumbe mtandao wa X nao umeufungia...unanilazima niangalie mautoko yako ya TBC1!? Shindwa pepo mchafu wewe.

Haya naamua kuweka VPN kama niko North Korea vile nipate habari, naona polisi sasa hawafanyi kazi kulinda raia na mali zao bali kuvamia makanisa ya watu!!...umechanganyikiwa kiasi hiki kweli!?

Hakika utavuna unachopanda haitapita mwezi wa Saba....LEMA ALISHAKUAMBIA MENE MENE TEKELI NA PERESI...UTAWALA WAKO UMEVUNJWA VIPANDE VIPANDE NA AMEPEWA MTU MWINGINE KUTAWALA....

Cheza na pesa zetu, gawa pesa zetu, fuja kwa kampeni na machura wenzako wakijani, cheza na watoto wako kina Abdul, ILA USICHEZE NA WATU NA IMANI ZAO ...THIS TIME ITAKUCOST BIG TIME.

WATANZANIA WALISHAKUWA GWAJIMANIZED KITAMBO TU ILA WAMEKUWA WAPOLE ILA THIS TIME AROUND PATAFUKA MOSHI!!....

Hatuwezi vumilia ushenzi na upumbavu kama huu, hii nchi ni yetu sisi sote...
Na wananchi kwa umoja wetu jamani tusicheke na Wowote!!

CHADEMA hii ulikuwa wakati sahihi wa kupigana vita hivi pamoja wapigania haki wengine kuweka msisitizo.

Muda wa kujitofautisha na CHADEMA ile yenye kubakia nyuma kila wengine wanapolianzisha.

Leo wao kesho nani ajuaye? Muda ulikuwa huu.

imhotep, Erythrocytes, Fortila, Nyanye Go, na wale wengine au nasema uongo?
 
Nimeamka asubuhi naangalia habari nataka kuingia x nashangaa hailodi, kumbe mtandao wa X nao umeufungia unanilazima niangalie mautoko yako ya TBC1!? Shindwa pepo mchafu wewe.

Haya naamua kuweka VPN kama niko North Korea vile nipate habari, naona polisi sasa hawafanyi kazi kulinda raia na mali zao bali kuvamia makanisa ya watu!!...umechanganyikiwa kiasi hiki kweli!?

Hakika utavuna unachopanda haitapita mwezi wa Saba....LEMA ALISHAKUAMBIA MENE MENE TEKELI NA PERESI...UTAWALA WAKO UMEVUNJWA VIPANDE VIPANDE NA AMEPEWA MTU MWINGINE KUTAWALA....

Cheza na pesa zetu, gawa pesa zetu, fuja kwa kampeni na machura wenzako wakijani, cheza na watoto wako kina Abdul, ILA USICHEZE NA WATU NA IMANI ZAO ...THIS TIME ITAKUCOST BIG TIME.

WATANZANIA WALISHAKUWA GWAJIMANIZED KITAMBO TU ILA WAMEKUWA WAPOLE ILA THIS TIME AROUND PATAFUKA MOSHI!!....

Hatuwezi vumilia ushenzi na upumbavu kama huu, hii nchi ni yetu sisi sote.

Na wananchi kwa umoja wetu jamani tusicheke na Wowote!!
Watu gani
Kanisa lishafungwa uchaguzi ukipita litafunguliwa
 
Duniani tunapita tuishi kwa kutenda mema, Mungu ndivyo atakavyo,kila tendo Lina Malipo yake ,Wema na Ubaya!
 
Farao wa Misri alipompinga Musa na kuwakandamiza Waisraeli, Mungu alimtuma Musa kuwaokoa. Mwisho wake, Misri ilipata mapigo kumi na Farao akapoteza jeshi lake katika Bahari ya Shamu (Kutoka 7-14).
  • Nebukadneza wa Babeli alipotaka kujitukuza juu ya Mungu, alinyenyekeshwa hadi akakubali kuwa 'Mungu aliye juu ndiye anayemtawala mwanadamu' (Danieli 4).
  • Herode alipojiona kuwa kama Mungu, akakulaumiwa na watu wa Mungu, Mungu alimwangusha (Matendo 12:21-23).
  • Katika Ufunuo wa Yohana, mataifa yanayompinga Mungu huangamizwa kwa moto, mapigo, au hukumu kutoka kwa Mungu (Ufunuo 19-20).
2. Usimguse mpakwa mafuta wangu, wala usiwatendee mabaya manabii wangu.” — Zaburi 105:15
Stori za kwenye bible zina ukakasi. Ungeachana nazo. Mpakwa mafuta Gwajima aliyewadanganya watu atawapeleka Birmingham naye ni wa kuchekewa? Gwajima kachezea moto.
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Kanisa ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kwa mujibu wa sheria kwa hiyo inatakiwa kufuata sheria. Pia kanisa la Gwajima ni kama mali yake binafsi ndo maana anaamua kulitumia kisiasa tofauti na makanisa mengine kama RC, SDA, KKKT nk. Pia kumbuka serikali haiendeshwi kwa kufuata imani za kidini bali sheria.
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
dini ya kikiristo ni fradulent SCAM, kanisa la Gwajima ni mfano mzuri
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Allah Akbar!
 
Gwaji boy aache uoga amefuatwa na polisi awasikilize kwanza aache kulichafua jeshi la polisi. Kuna kauli ameisema "Tunaona defender hatujajua ni polisi au ndo watekaju wenyewe" Hii kauli imekaa vibaya sana na huyu jamaa analikosea sana jeshi letu kulifananisha na watekaju.
Kwa akili zenu watekaji mnadhani hamjulikani?
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Uzi wako haujakamilika haujasema Samia amelifanya Nini kanisa

Sisi wengine umetuacha njia panda
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Kanisa la mcheza X nalo kanisa. Alafu harakati zenu za kanisa sio za kila mtanzania. Usihusishe watanzania wote na kanisa.
 
Misikiti yote hapa Dar ifungwe kwa kelele zisizo na tija kwa wananchi, kuna maana gani mtu unaamshwa saa kumi alfajiri tena kwa kushituliwa na maspika ya watts 10,000 na kuambiwa usilale eti ukasali, nani aliyesema kuswali ni lazima? Miskiti iliyo karibu na makazi ya watu ivunjwe ikajengwe maporini siyo mijini, tunataka ustaarab.
Wewe ndio ulitakiwa ubaki huko huko polini kama umekuja Dar inamaana umewafuata waislam kwahiyo usiwapangie Sheria kama unakereka Rudi kwenu

Hilo jina lenyewe Dar es salaam limetolewa ndani ya Quran
 
Back
Top Bottom