PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uungwana ni kwa yeye kuachia madaraka
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
 
Gwaji boy aache uoga amefuatwa na polisi awasikilize kwanza aache kulichafua jeshi la polisi. Kuna kauli ameisema "Tunaona defender hatujajua ni polisi au ndo watekaju wenyewe" Hii kauli imekaa vibaya sana na huyu jamaa analikosea sana jeshi letu kulifananisha na watekaju.
 
Misikiti yote hapa Dar ifungwe kwa kelele zisizo na tija kwa wananchi, kuna maana gani mtu unaamshwa saa kumi alfajiri tena kwa kushituliwa na maspika ya watts 10,000 na kuambiwa usilale eti ukasali, nani aliyesema kuswali ni lazima? Miskiti iliyo karibu na makazi ya watu ivunjwe ikajengwe maporini siyo mijini, tunataka ustaarab.
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi


Ni Kosa kubwa kwa CCM kutuletea Mzanzibari kuitawala Tanganyika .
Mwinyi alikua ni Mzanzibari lakini aliishi sana bara na akichanganya kidogo na watanganyika japo Uzanzibari una itikadi fulani ya kujali sana Zanzibar na uislam kuliko hata Pepo. 😂😂

CCM wamekosa sana . Zanzibar ina Rais wao na nchi yao haiwezekani tena itoe Rais wa Tanganyaka na Rais wa Tanzania , Yaani serikali mbili zinaongozwa na marais wa wiki kutoka nchi moja . Huo ni ujuha .

Samia katika makuzi yake yote hakuwahi kuchangamana na watu wa dini tofauti . Na hakuwahi kuamini kuwa Ukristo ni dini ya haki .

Samia katika makuzi yake hakuwahi kuamini kuwa Kafir ana haki ya kuishi sawa na Muislam .
Samia katika makuzi yake Kama Mzanzibari hajawahi kufikiri kuwa ukristo unakataza mabaya na kuamrisha mema na kusimamia katika kuhubiri haki na kuacha maovu .
Kama Mzanzibari Samia alikua anajua kuwa Watu wa bara au Tanganyika ni watu wasio na dini . Ni majitu mabaya tu yasiyofanya maasi tu. Kwa hiyo anaposhauriwa na kanisa anafura kwa hasira kwa sababu analitazama kanisa kwa mtizamo hasi.

Mzanzibari kuja kuitawala Tanganyika ni sawa na Urusi kutawaliwa na mtu kutoka Ukraine . Bila shaka atatumika kuihujumu Urusi na kuiangusha .
 
wanongo wanafki sana mnajua kubadili maana ilii kuongezea uzito jambo amegombana wapi na kanisaa ss
 
Asubuh mpaka jion Sala ni moja tu alaniwe mama Samia na uzao wake wote siku zote za maisha yake

Milele na milele AMINA

Msimtaje Abdul kipenzi cha RAHISI, mama yake anaumia. Nyie watoto wenu hawaumi kama wake.
 
Acha mikwara wale TEC kwenye DO world walitulizwa ,tena usijaribu kutishia serikali na vikundi vyenu hivyo havina hizo nguvu.
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Toa mifano kama ipo tuone. Rais gani aliishawahi kuliacha "Kanisa" lifanye linavyofanya? Na ukisema "Kanisa" ujue unamaanisha "Kanisa Katoliki Tanzania" na sio Gwajima au Mwamposa au Kakobe. Ni Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania!
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Misikiti yote hapa Dar ifungwe kwa kelele zisizo na tija kwa wananchi, kuna maana gani mtu unaamshwa saa kumi alfajiri tena kwa kushituliwa na maspika ya watts 10,000 na kuambiwa usilale eti ukasali, nani aliyesema kuswali ni lazima? Miskiti iliyo karibu na makazi ya watu ivunjwe ikajengwe maporini siyo mijini, tunataka ustaarab.
😹😹😹
 
Nimeamka asubuhi naangalia habari nataka kuingia x nashangaa hailodi, kumbe mtandao wa X nao umeufungia unanilazima niangalie mautoko yako ya TBC1!? Shindwa pepo mchafu wewe.

Haya naamua kuweka VPN kama niko North Korea vile nipate habari, naona polisi sasa hawafanyi kazi kulinda raia na mali zao bali kuvamia makanisa ya watu!!...umechanganyikiwa kiasi hiki kweli!?

Hakika utavuna unachopanda haitapita mwezi wa Saba....LEMA ALISHAKUAMBIA MENE MENE TEKELI NA PERESI...UTAWALA WAKO UMEVUNJWA VIPANDE VIPANDE NA AMEPEWA MTU MWINGINE KUTAWALA....

Cheza na pesa zetu, gawa pesa zetu, fuja kwa kampeni na machura wenzako wakijani, cheza na watoto wako kina Abdul, ILA USICHEZE NA WATU NA IMANI ZAO ...THIS TIME ITAKUCOST BIG TIME.

WATANZANIA WALISHAKUWA GWAJIMANIZED KITAMBO TU ILA WAMEKUWA WAPOLE ILA THIS TIME AROUND PATAFUKA MOSHI!!....

Hatuwezi vumilia ushenzi na upumbavu kama huu, hii nchi ni yetu sisi sote.

Na wananchi kwa umoja wetu jamani tusicheke na Wowote!!
 
Back
Top Bottom