Rais Samia: Hakuna anayependa Jeshi lake lichafuke. Nimewalinda ndio maana nimewabadilisha

Hivi Mtaka naye kabadilishwa kituo cha kazi...?
 
Kwa kweli kama taifa tumekula hasara kubwa sana
 
Pigia Mstari Macoordinator.Ni nani anawapa hiyo kazi ya URATIBU wa MAMBO fulani?
 
Hivi kwanini tunaongeza gharama za uendeshaji wa serikali?
Kuna Ikulu Dar, Dodoma na sasa Tunguu. Hawa wakuu wa mikoa ni wa Tanganyika, nani analipa gharama za usafiri na malazi kwenda Unguja! Na kwanini isiwe Dar au Dodoma ili kupunguza gharama kwa mlipa kodi

JokaKuu
 

..hili suala ni la Tanganyika halikupaswa kufanyika Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…