Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo

"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia

Chanzo: Clouds Media
 
386DBC19-C867-43C1-ACA2-0276E7E379C8.jpeg
 
View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1691136022455660550

Nimemkinai kabisa, yani hata nikiona picha yake barabaran najisikia very desparate, Wakina Mama hawana hizi calibar.
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo

"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia

Chanzo: Clouds Media
Ajibu malalamiko ya vifungu vya kwenye mkataba. Anawabambikia watu kesi ya uhaini wakati yeye ndiye amefanya uhaini kwa nchi yetu!
 
Ngoja nicheke kidogo
😁😁😁😁😁😁😁😁😯
Tengeneza tatizo, tatua kisha wajinga watapiga makofi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo

"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia

Chanzo: Clouds Media
Tuna wanasheria wa ajabu sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Hii TLS ni tawi la mawakili wa CCM.
Haiwezekani wakati kama huu ambao wanasheria na wanachama wenzao wa TLS wakifunguliwa kesi za bandia na hata kutishiwa maisha na serikali hiyo hiyo na kulazimika kuikimbia nchi...

Haya mengine yako pale yakienezewa ujinga huku wakikenua kuusaka ujaji na teuzi zingine.

Shame on them!
 
Huyo ndo Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania. Hana papara ya kusema wala kujibu. Na akiamua kuwajibu basi huwajibu kulingana na viwango vyao vya ujinga. Wakiwa wajinga wajinga zaidi huwajibu kwa 'R' nne tu basi. Kama mtoto mdogo na msanii kama Diamond tu anawatoa jasho mizee yote ile, yeye ahangaike nao wa nini?!!!!

Piga kazi mamaaa Watanzania tupo pamoja nawe!!!!
 
Tuna wanasheria wa ajabu sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Hii TLS ni tawi la mawakili wa CCM.
Haiwezekani wakati kama huu ambao wanasheria na wanachama wenzao wa TLS wakifunguliwa kesi za bandia na hata kutishiwa maisha na serikali hiyo hiyo na kulazimika kuikimbia nchi...

Haya mengine yako pale yakienezewa ujinga huku wakikenua kuusaka ujaji na teuzi zingine.

Shame on them!
Wewe alipojeruhiwa Tundu lissu ulikimbilia ili moja ikupate wewe?!!!
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo

"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia

Chanzo: Clouds Media
Tayari yeye kashauza
 
Back
Top Bottom