FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi ni kweli huyu mama hajui ni vipengele vipi vya mkataba vinavyolalamikiw? Auxhajui kusoma nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Open universityHivi ni kweli huyu mama hajui ni vipengele vipi vya mkataba vinavyolalamikiw? Auxhajui kusoma nini?
Alipewa nafasi hiyo bure sasa anaichezeaKm hataki shida akae pembeni wenye uwezo wapo wengi
Ndugu yangu mimi naishi kwenye nchi ambayo mkuu wa nchi anapada treni au daladala anaenda kazini hazingirwi na watu wa kumlinda kama kuku.Anaenda disco kucheza mdundiko bila shida hana mav8 ingawa anatoa msaada Tanzania za mamilioni.Mkuu wa nchi hawezi kulingana na mimi wala wewe.
Speech yake inaandaliwa na jopo la wasomi wazuri kadhaa na inafanyiwa mapitio.
Kauli ya rais ni kauli ya nchi, sio mipasho mipasho kama ya Kopa anayejitungia ashki zikimshika
Mtu amekuwekea panga shingoni kabisa na umeona pale kuna Maiti pemben anakuambia yeye hawezi kukuua ,hataki shida na ww hiyo si itakuwa ni dhihaka kuendelea kuwamin. Ngoro ngoro imepita hivi ,misitu hivi na faida yaek haionekani halafu anakuja na huo uharo wake kuwa hataki shidaQur'an inasema " mwanamke ni kiumbe dhaifu , hakistahili katika uongozi " kumbe ilikuwa na maana hii
Aya gani hio kwenye Qurani.Mtu amekuwekea panga shingoni kabisa na umeona pale kuna Maiti pemben anakuambia yeye hawezi kukuua ,hataki shida na ww hiyo si itakuwa ni dhihaka kuendelea kuwamin. Ngoro ngoro imepita hivi ,misitu hivi na faida yaek haionekani halafu anakuja na huo uharo wake kuwa hataki shida
Ndi hilo ndo jibu sahihi tukiuza tunapata manufaa ya pesa yeye ameamua kuigawa bure baada ya kumshinda
Ni jammii ya akina nape na mwiguluMimi mwenyewe nimeitizama nikajiuliza hivi wanaomshabikia huyu wanawaza nini?[emoji1787]
Rais asiye na bidii yeyote kwa nchi yake ,her performance reflect her academic recordYeye mwenyewe alisaini bila kujua hata nini kimeandikwa humo ndani zaidi ya kuambiwa
Mimi nasema kama samia alikuwa anajua kabisa hawezi kukali kitu hicho si angekaa tu pembeni jamani kuliko kujidhalikisha hiviKm hataki shida akae pembeni wenye uwezo wapo wengi
Niliacha kufuatilia chochote kwa watu wenye akili matopeRais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo
"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia
Chanzo: Clouds Media
Shetwani kabisa.Mama samia hilo tunaliona kwa viendo.
Leo hii Tanzania watu wanapewa mashamba mpaka eka kumi kumi na wanafundishwa na wanawekewa visima. Hakika asitutakia maisha mema, hawezi kutufanyia hivyo.
Mimi nimefurahi sana, mama Samia kalenga haswa kwenye tija, kilimo kina tija sana.
Hizo ni chuki binafsi tu.Shetwani kabisa.
Huyu mama msiomjua SAA hizi wacha endelee kuwa madarakani,
Mtaisoma namba mpaka mtajuta.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ujue kwa Africa ni mamiunguwatu. Tofauti sana na huko ulipo.Ndugu yangu mimi naishi kwenye nchi ambayo mkuu wa nchi anapada treni au daladala anaenda kazini hazingirwi na watu wa kumlinda kama kuku.Anaenda disco kucheza mdundiko bila shida hana mav8 ingawa anatoa msaada Tanzania za mamilioni.
Watu wengine mijadala kama hii haiwafai. Rudi kwenye ubishani wenu wa Simba na Yanga.Mkataba umeshafafanuliwa kifungu kwa kifungu tena na Hamza Johari aliyeshiriki kuuandika akiwa na wanasheria wa Dubai.
Kusema Rais aufafanue wakati ufafanuzi ulishafanyika ni vurugu na ni ukosefu wa adabu wa kwa Rais.