Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nini kimepanda bei? Au unaishi Nairobi?Vitu vinapanda Bei Kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimepanda bei? Au unaishi Nairobi?Vitu vinapanda Bei Kila siku
Mafuta 2736 mpaka 3199Nini kimepanda bei? Au unaishi Nairobi?
Yamepanda Tanzania tu?Mafuta 2736 mpaka 3199
AminaTumemuweka kwenye maombi naamini hatufiki nae January ....
Matapeli makubwa..
Maisha bora hayalazimishwi kwa mitutuna kesi za kubumba.Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo
"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia
Chanzo: Clouds Media
Umesha uza Tanganyika kwa DP world kila mtu anajua fikaRais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS na ZLS kusimamia utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba ya nchi kwa kuzingatia weledi na uadilifu huku akiwataka pia kumsaidia kusimamia misingi ya "R" nne katika kujenga umoja wa nchi na kuleta maendeleo
"Nimekuja na R zangu nne, sitaki shida nataka Watanzania waishi vizuri, nisaidieni huko. Kwa karne tuliyonayo hapa hakuna Mtanzania atakayeuza Tazania hii wala atakayegawa Tanzania hii, na sisi serikali, vyama vya siasa tukianza fukunyuku Wananchi watatusuta, nendeni kanisaidieni hizo R nne." Ameeleza Rais Samia
Chanzo: Clouds Media
UnaliwaWe endelea na msiba chato
Yeye mwenyewe alisaini bila kujua hata nini kimeandikwa humo ndani zaidi ya kuambiwaAjibu ule mkataba kifungu kwa kifungu. Au amwambie mwanasheria wake ajibu na siwabambikie watu wanaohoji mkataba kesi ya uhaini. Yeye ndiye mhaini na alitakiwa ashitakiwe yeye.
Hawa wanasiasa utawaweza mkuuR nne ndio nini ?
Upo sahihiHawa wanasiasa utawaweza mkuu
Mara R, mara BBT, mara BRN, mara MKUKUTA, mara MKURABITA kwa kifupi tu CCM ni matapeli
Hana lolote, yaani amepoteza haswa mvuto kwa watanzaniamaisha Bora Kwa wajomba zake na familia yake hizo tozo anazotoza ndio anahangaikia watanzania.
Kuitetea hii serikali ya ccm ni lazima utaonekana kama chizi.Acha kuota wewe!! Ukombozi gani?
Nadhani mama pengine hajausoma ule mkataba vizuri na akauelewa ama wanasheria aliowaamini sana wamempotosha ndio maana akaja na maneno kama hayoUmesha uza Tanganyika kwa DP world kila mtu anajua fika
Vigezo na masharti na vifungu vya mkataba na DP world vimeisha handle over bandari zoteHuyu mama mnafiki sana. Anapowakamata akina Dr. Slaa, Mwabukusi na Mdude hizo R nne anakuwa kazisahau??
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma