PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu niko pamoja na wewe. Mimi niko Parokia ya Bikira Maria wa huruma, Mbezi Tangi Bovu. Natoa zaka na kuchangia jenga jimbo wakati wa Xmas na Pasaka. Lakini sikubaliani na namna Fr Kitima anavyofanya kazi ya TEC. It seems yeye ana nguvu kuliko Rais wa TEC Bishop Pisa
 
Kanisa katoliki liliwezesha USSR kuanguka, ijekuwa serikali ya Tanzania?
Ni swala la muda tu! Tena mfupi sana!
N
 
Hata mimi nipo Mt Gaspar hapa Mbezi Beach sikubaliani na Padre Kitima na Rais wa TEC jinsi wanavyoiendesha TEC.
 
TEC Wana kiburi wakiamini nchi Yao,leo wamechanwa na wakiendelea nadhani mabanzi yatafuata, tanzania siyo kigango cha kanisa wala parokia
Unajua najiuliza hivi Samia anakubalika na kundi gani hapa nchini? Maana kama anaona wakristo hawamkubali kisa yeye muislamu, anaona kuna wasiomkubali kisa jinsia yake, kuna wasiomkubali kisa asili yake, vijana nao hawamkubali wameshawishiwa na hadi kulipwa fedha ili kufanya vurugu nchini sasa ina maana Samia ni kundi gani hilo ambalo ndio lenye kumkubali Samia?

Anatangaza vita ndani na nje ya nchi.
 
Ungesoma hesabu za seti na sehemu usingejiuliza Hilo swali
 
Tupo Wakristu tunaomkubali sana tu tena RC kabisa usipotoshe. Sema wewe ndio humkubali wala siyo wakristu wote.
 
Mwanamke ni chombo cha starehe .
Kazi aliyoipambania kuiiba sio rahisi km kupamba ma bibi harusi
 
Mwanamke ni chombo cha starehe .
Kazi aliyoipambania kuiiba sio rahisi km kupamba ma bibi harusi
 
Katiba gani inayoruhusu kuiba uchaguzi na kuwauwa the so called waharibifu wa miundo mbinu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…