Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

Hii nchi inashida yaani jitu Zima linapoteza siku nzima kuandika ugoro huu. Halafu linataka watu wapoteze mda wao kusoma upuuzi .wewe umehoji wananchi wagapi wakakwambia kuwa Samia anakubalika?
 
Hii nchi inashida yaani jitu Zima linapoteza siku nzima kuandika ugoro huu. Halafu linataka watu wapoteze mda wao kusoma upuuzi .wewe umehoji wananchi wagapi wakakwambia kuwa Samia anakubalika?
Wananchi wengi sana tena sana wana imani kubwa sana na Rais Samia na wanamkubali sanaa Mama huyu Mzalendo wa kweli kwa Taifa letu
 
Wananchi wengi sana tena sana wana imani kubwa sana na Rais Samia na wanamkubali sanaa Mama huyu Mzalendo wa kweli kwa Taifa letu
Ila Lucas unasikitisha wakati mwingine kwa haya maandiko yako. Sioni kama yanamsaidia SSH hata kidogo. Jaribu kutafuta njia mbadala.
 
Ni wewe peke yako unayemwamini au hata wanachama wengine wa chama chake wanamwamini? Ukitaka kuliona hilo ruhusu demokrasia kila mwenye sifa achukue form. Ikiwa hivyo SSH anaweza kupata kura yake peke yake.
 
Kila mwana CCM na wana CCM wote wana imani kubwa sana na Rais Samia.ndio maana tumesema Fomu ni moja tu ya Urais hapo Mwakani kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa daktari Mama Samia.
 
Naungana nawe kabisaaa.

Hana mbadala wake hususan kwenye kuteka na kuua wakosoaji wa serikali yake.

Hana mbadala wake kwenye kuuza rasilimali za nchi

Hana mbadala wake kwenye kutelekeza ripoti za CAG

Hana mbadala wake kwenye kuelekeza wasaidizi wake namna ya kufisadi kwa theory ya kamba ya mbuzi

Hana mbadala wake kwenye kuidharau Katiba ya nchi kwa kuiita KIJITABU tu. Tena akiwaona wananchi wote ni maamuma akitaka wafundishwe Katiba kwa miaka 3

Hana mbadala wake kwenye kuwaenzi majuha walioipuuza elimu (Mwijaku, Mpoto, Lucas Mwashambwa, Dotto Magari, n.k.) kwa kuwawezesha kushikilia turufu za kampeni zake huku akiwaacha wasomi na graduates wakihangaika bila ajira

Hana mbadala wake yes nakubali sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…