Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030.Kama alikuwa makamu miaka mitanok,akawa Rais Miaka mitano kasoro,time is out.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030.Kama alikuwa makamu miaka mitanok,akawa Rais Miaka mitano kasoro,time is out.
mbona wewe ni mkulima halafu ni chawa? Unawezaje?Hakuna mkulima chawa.
Mimi ni mkulima na wala siyo chawa.mbona wewe ni mkulima halafu ni chawa? Unawezaje?
Hii nchi inashida yaani jitu Zima linapoteza siku nzima kuandika ugoro huu. Halafu linataka watu wapoteze mda wao kusoma upuuzi .wewe umehoji wananchi wagapi wakakwambia kuwa Samia anakubalika?Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake na hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi kupitia mikono yake..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wananchi wengi sana tena sana wana imani kubwa sana na Rais Samia na wanamkubali sanaa Mama huyu Mzalendo wa kweli kwa Taifa letuHii nchi inashida yaani jitu Zima linapoteza siku nzima kuandika ugoro huu. Halafu linataka watu wapoteze mda wao kusoma upuuzi .wewe umehoji wananchi wagapi wakakwambia kuwa Samia anakubalika?
Unakataa Kabila lako??Acha mawazo ya kikabila wewe.
Jamaa kaamua kujikataa jumla, anaandika utoto mwingi sana.Hivi kuna mtu anasomaga haya magazeti?
Ila Lucas unasikitisha wakati mwingine kwa haya maandiko yako. Sioni kama yanamsaidia SSH hata kidogo. Jaribu kutafuta njia mbadala.Wananchi wengi sana tena sana wana imani kubwa sana na Rais Samia na wanamkubali sanaa Mama huyu Mzalendo wa kweli kwa Taifa letu
Unakwenda wewe na nani?!mbona wewe ni mkulima halafu ni chawa? Unawezaje?
Ni wewe peke yako unayemwamini au hata wanachama wengine wa chama chake wanamwamini? Ukitaka kuliona hilo ruhusu demokrasia kila mwenye sifa achukue form. Ikiwa hivyo SSH anaweza kupata kura yake peke yake.Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake na hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi kupitia mikono yake..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kila mwana CCM na wana CCM wote wana imani kubwa sana na Rais Samia.ndio maana tumesema Fomu ni moja tu ya Urais hapo Mwakani kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa daktari Mama Samia.Ni wewe peke yako unayemwamini au hata wanachama wengine wa chama chake wanamwamini? Ukitaka kuliona hilo ruhusu demokrasia kila mwenye sifa achukue form. Ikiwa hivyo SSH anaweza kupata kura yake peke yake.
Unalifahamu kabila langu au unalopoka tu na mawazo yako ya kijinga ya ukabila.Unakataa Kabila lako??
Naungana nawe kabisaaa.Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake na hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi kupitia mikono yake..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umelewa pombe gan?Unakwenda wewe na nani?!
Ni kulopoka au kuropoka??😅🤣 We kweli mndaliUnalifahamu kabila langu au unalopoka tu na mawazo yako ya kijinga ya ukabila.
Acha ukabila weweNi kulopoka au kuropoka??😅🤣 We kweli mndali
Nilikuwa nakusahihisha una shida kubwa ya sarufi!!Acha ukabila wewe
Asante.Nilikuwa nakusahihisha una shida kubwa ya sarufi!!