Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wakati huu hatuwezi kupata kiongozi mchapa kazi , mzalendo,akili kubwa ,mwenye maono ,utulivu,uzalendo , unyenyekevu, busara,hekima kama alivyo Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanBaada ya Mwl Nyerere wengi walisema tusingepata mbadala wake., lakini akaja Alhaji Ali Hassan Mwinyi.
Baada ya Mzee Mwinyi wengine walidhani tusingepata mbadala wake, lakini akaja Mzee Benjamin Mkapa.
Vivyo hivyo Mkapa Kwa JM Kikwete.
Kikwete Kwa John Magufuli
Na hata alipokuwa Rais ni John Pombe Magufuli baadhi ya Viongozi walidhani asingetokea wa kumrithi.
Lakini alipofariki Dunia, kabla hata hajazikwa tayari mrithi alishapatikana ambaye ni Dr Samia.
Hivyo hivyo nategemea hata yeye akiondoka, mrithi wake lazima apatikane hata kama atakuwa Lucas Mwashambwa 🤗
Urais ni Taasisi, sio sawa na kazi ya kumwaga Zege site
Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika anatosha sana kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
Wapi huko Kizimkazi au wapiNdugu zangu Watanzania,

Mimi ni mkulima na siyo chawa.Mkuu inamaana uchawa wote huo huna ofisi??
Umesahau kuweka number yako ya simu.Ndugu zangu Watanzania,

Usifikiri Urais ni kuongea ongea tu bila mpangilioWapi huko Kizimkazi au wapi
huKO KIZIMKAZI HANA KWELI LKN HUKU KWINGINE WAPO WAKUTOSHA SANAAA ,HATA LUHANGA MPINA ANATOSHAA KULIKO YEYE
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako.Umesahau kuweka number yako ya simu.
Silagi viporo mimi.Umekula kiporo cha nin asubh?
Vua chupi akuweke nyuma chapu. Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkulima chawa au sioMimi ni mkulima na siyo chawa
Hakuna mkulima chawa.Mkulima chawa au sio

Lissu hata ukimshindanisha na Mbowe kupata mgombea Urais kupitia CHADEMA hawezi kumshinda .Lissu hana kitu zaidi ya uropokaji tuYupo Simba Lisu anaemfanya Mama aliekufikisha aweweseke huku na huko..