Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Story za kwenye vijiwe vya kahawa utazijua tu wala hawihitaji Masters !!
 
unaijua vienna convention?
 
unaijua vienna convention?
Hiyo Vienna Convention yenyewe inambana huyo mama yako mropokaji.

Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
Unajuwa hasira za kizimkazi weye
 
Kiufupi hotuba yake yote CIA wamelamba na kuiweka kwa meza ya majasusi kwa kumjibu bila maneno hapo ndio ataongea kimakunduchi bila majibu... JK 😜 ako wapi ushauri
 
Nimefurahia sana hiyo kauli ya rais inatakiwa awaamshie hao wamarekani mbaya kabisa tena awaambie hatutaki misaada yao wao na umoja wa ulaya.

Sisi ndio sisi hatuogopi tupo jemadari wetu toka kizimkazi
 

Ukiwa unaomba omba unategemea nini?
 
Nimefurahia sana hiyo kauli ya rais inatakiwa awaamshie hao wamarekani mbaya kabisa tena awaambie hatutaki misaada yao wao na umoja wa ulaya.

Sisi ndio sisi hatuogopi tupo jemadari wetu toka kizimkazi

Watu nyie wabad sana...mnataka kumdanganya..eti Jemedari wa Kizimkazi😳😳😳😳
 

CHURA KIZIWI kumbe anasikia ..... alijidai hasikii kumbe amejaza HASIRA kifuani!!
 
Uko sahihi 100% Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…