Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Leo ndio amenikosha kwa furaha. Hatuwezi kuwa taifa la watu wakujikomba. Akina chief Mangingo endeleeni kulamba miguu. Leo laongea kama Rais wa nchi. Japo yapo siyaelewi ya rasilimali za nchi
Unajidanganya bure, kumbuka: hata ndege anayotumia kusafiria kwenda katika nchi mbalimbali imetengenezwa na hao hao anaowasema. Watch out!

Where is Iranian President Raisi?
Where is Vice President of Malawi Saulos Chilima?!?

Usipende kushindana na mabeberu, wana mbinu nyingi Sana.
 
Usimjaze upepo bure, atahujumiwa. Wazungu Wana mbinu nyingi Sana. Usiwachezee.

Waingereza kwenye kuwadhibiti watu kama hao huwa Wana msemo wao kwamba "There is more than one way of skining a cat."
Wazungu!! Mkuu tulia. Kama ulipanga kushiriki maandamano fanya mambo yako. Hii ni nchi na ina Serikali yenye Mamlaka Kamili. Sio Serikali ya Samaki!!! Fanya mambo yako, Jenga taifa, shuhulikia familia yako, kama unayo. Samia ndiye Rais wa nchi hii kwa sasa.
 
Unapoteza muda wako bure kushauri au kuelimisha mpumbavu.
 
Alionywa mapema kabisa kuwa "adui yako siyo wapinzani bali ni mvaa shati la kijani mwenzako". Leo hii anawatolea povu wapinzani na nchi wahisani wakati hiyo michezo anachezewa na wateule wake mwenyewe wanamtisha na ametishika hadi anapanic na kutoa speech ya kukurupuka,wenyewe wanachekea tumboni kuwa ameshajaa kwenye mfumo wao na watamchezesha singeli hadi kiti atakuona kichungu hicho. Hivi kweli Chadema wana ubavu gani wa kumuondoa madarakani? Naona aibu mimi Rais kuogopeshwa naye akaogopa.
 
Mimi sizungumzii kuhusu maandamano, bali nazungumzia kuhusu uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.
Kumbuka: hata ndege anayotumia huyo mtu kusafiria kwenda katika nchi mbalimbali imetengenezwa na hao hao Watu anaowasema. Watch out!

Where is Iranian President Raisi?
Where is Vice President of Malawi Saulos Chilima?!?

Usipende kushindana na mabeberu, wana mbinu nyingi Sana.
 
Huyo mama anajua atakaa madarakani milele ,siku atakayoondoka akiwa hai au mfu watu watashangilia sana maana maisha yamekua magumu sana kwakweli na wanufaika wachache.

NB:Samia amewaangusha wanawake wote nchini na sidhani baada yake kama kuna mwanamke atapewa sapoti, Mabeyo uko alipo anang'ata meno kwa uchungu😁😁😁
 
Nakumbuka hatukuwa na mwalimu wa kiswahili form one alikuja wakati tuko form two alitufundisha alomofu,mofimu na kuhusu tungo tata, napenda sana kuongea tungo tata na lugha kificho, (silent language), a.k.a codes
 
Mjazeni ujinga tu
 
Kifupi ameyatimba.
 
Rais hawezi kuwa neutral mzee. Hilo ukilielewa hata hutapata stress. Consequence ya hiki alichokiongea utaona hata mabalozi walioguswa muda si mrefu wataondoshwa na nchi zao. Wazungu pia sio wajinga kihivyo kama unavyofikiri.

Mark my words time will tell. Kabla ya uchaguzi kuna mabalozi hawatakuwepo hapa ndani.
 
Mama anatakiwa kujua this country sio ya kuuana ni nchi ya sheria na katiba ndo miongozo yake. We are not chinesse we are not cuban we are not Venezuelan we are not Russians we are not north koreans we are not syrians akumbule hilo hii nchi ya democracy why kabisa intelejinsia yake inamwambia watu wamekaa huko kwenye vijiwe vya kahawa wanataka kupindua nchi na kabisa mtu anamwandia hotuba ya kitoto na yeye anaenda present hapo kuna watu wengine wana master na degree kabisa hata yeye mwenyewe ana degree kabisa ameshindwa hata kuchambua iyo hotuba na kuruka vya kuongea na vingine kutokuongea come on umezungukwa na viumbe sugu , wanaokulisha ujinga ,please wakatae wengine wanakusifia they just want their bread not decaying waendelee kura kua nao makini ila km umeamua uwe kiziwi haya kumbuka watanzania tuna thamani kubwa kuliko hao walikoo kaa wamevaa miwani meusi wanapanda gari za cc3600.
 
Alisema pia ana njia za kuwasiliana na mamlaka za uteuzi za mabalozi husika,akajua kuwa hawana baraka hizo
 
Asipoelewa hapa basi atakuwa kashindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…