Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Msimtishe Bi. Mkubwa.

Tanzania is a sovereign state.

Tuna kila haki ya kufanya mambo yetu bila kuingiliwa.

Hata hivyo bado tuna mahusiano mazuri na marekani, jumuiya ya ulaya , uchina na nchi nyingine za kiafrika.

Sioni ubaya wowote Madam akiwakumbusha kuwa this is a sovereign state.
 
Huyu mama ni ignorant, ni aibu nchi kuwa na rais wa aina hii
 
Nafikiri kuwasema hawa weupe, sio tatizo, ila wao hujifanya waemejisahau hivi, halafu kifuatacho, ni maumivu. Ni ukweli walitakalo lazima liwe. Ila nao weupe hupenda sana kusemea kila kitu. Mweupe ana mikakati ya muda mfupi, wa kati na mrefu. Pamoja na matatizo yetu kadhaa,, mweupe yeyote hana uchungu na mtu mweusi.
 
Yaani huyu mama bana, kwahiyo yeye anaamini hao Marais wa nchi za magharibi wanamuona yeye wa maana kuliko hao mabalozi wao?! Kwahaya mauji ya kitoto ya vyombo vya dola, anategemea marais wa hizo nchi wampigie yeye simu?

Halafu unaweza kukuta hao mapolisi wanaamini marais wa hizo nchi wakitaka kujua habari za hapa nchini wanampigia yeye kwanza.
 
rais wetu ana mesemo yake ukiitafakari unaweza kumdhania kama ana dharau flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…