Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili


Hebu tujibu hili. Vifo kwa Malaki ya watu na matatizo ya Kongo, Sudan, Libya, West Africa nk hawa weupe tunaowatetea wanahusika au wanasingiziwa ? Sasa kama upande mmoja wa Africa wamehusika kuuwa Malaki ya weusi wenzetu ili wapore mali zetu je, matamshi yao kwamba tunatekwa ni ya dhati ? Yeyote asiyetenda haki hafai. Awe mweupe au mweusi.
 
Hayo yanahalalisha huu utekaji na muaji ya vyombo vya dola kwa wapinzani?
 
Chura kayatimba bakuli lake atalikimbizia Arabuni kwa Wajomba😝😝😝
 
 

Attachments

  • 20240917_231131.jpg
    72.2 KB · Views: 1
Unajua mkuu hawa viongozi hawajui uchungu wa kumpoteza family member! Siku Samia akipata taarifa kuwa Wanu Hafidh Ameir ametekwa na mwili wake umeokotwa Mabatini Mwanza ndo atajua hii kitu ni serious! Au Tulia akipata taarifa kuwa Michael ametekwa na mwili wake umeokotwa Ilula hapo nadhani hawatasubiria tena vifungu wala miongozo.
 
Mama ana uwezo mdogo huyu Leo nimethibitisha aise
Dhihaka hii. Taasisi ya Urais haina jinsia. Kilichotokea leo hata Dkt Magufuli alikuwa anafanya makosa hayo hayo. Unapo dili na nchi za nje unapaswa kuwa kama kobe zaidi ili wasijue mbinu zako, ukijiachia ndiyo hayo ya Patrick Lumumba ya kumtukana mfalme wa ubeligiji na kuishia kuyeyushwa kwenye acidi na wakongoman wenzake
 
Leo nilitegemea angekuja na hotuba ya kuwapooza na kuwaunganisha watanzania matokeo yake vituko vitupu
 
Kuwa na adabu wewe!! Bwawa umeliacha katikati ya mapaja ya mkeo unakoegelea na kuzama hadi kichwa. Nyoko sana wew. Hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu imekutoweni kwenye mstari mmekaa kaa vipanya vilivyonyeshewa na mvua.

mPaka 2030,awamu zake mbili zitakapoisha

Hatuna uwezo wa kumtoa maana asilimia 70 ya waliochini yake ni machawa,wanawaza kuongeza wigo wa kula asali
Hata magu alidhamiria kutawala leo yupo wapi
 

Tatizo la Wanawake wa Pwani, hata maneno ya kanga au kicheko tayari lazima atafute namna ya kujibu.
 
UJINGA PEKEE NDIO UNATHAMANI KULIKO DAMU...✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…