Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama wa shoka.chaguo la watanzania
IMG-20240131-WA0028.jpg
IMG-20240125-WA0013.jpg
IMG-20240115-WA0007.jpg
 
kwasababu ukweli ni kwamba wanawake hamkuumbwa kua viongozi hamna ubunifu, ujasiri, hulka wala uwezo wa kusimamia na kufuatilia mikakati kufikia malengo. Hata tubishane mwaka mzima swala hili liko bayana kabisa.

Rejea hata yeye mama yenu May 2022 alisema hana uwezo wa kusimamia na kufuatilia kama alivyokua Magu. Mwanamke amepewa heshima kubwa na Mungu kua mlezi ila maharakati yenu (ya kijinga) yanawadanganya ati mnaweza kutenda kama wanaume (ili hali ukweli uko wazi, wanawake ni viumbe dhaifu sio tu physically hata mentally na emotionally)

Mnadanganywa kua madumejike ati mnaweza majukumu ya kiume, na hata mkishakua madume jike mnagundua hata haiwapi amani na furaha. Tazama mitaani wanawake wenye mavyeo na manyadhifa ila usoni hawana furaha ni kama walking zombies, ule utamu wa mwanamke umepotea.

Unakuta janamke hata ukilitomasa halisisimki ule uanamke umeshatoweka yani ni lidume kama Hamisi ila tu lina kum.a yote inaletwa na kudandia majukumu ya kiume ambayo kimsingi ni very energy draining and competitive.
Sasa Mimi binafsi Toka nimeanza kufuatilia mambo ya Uongozi hakuna yeyote anaejiita mwanaume ameweza kufanya aliyofanya Samia.

Hapa unapiga kelele za kujifariji ukidhami kwamba Mbolooo inakuongezea ukweli.

Wewe unampima Kiongozi Kwa vigezo vipi au Kwa hisia zako?

Weka hapa vigezo vyako tukinganishe na unaowaona kwako wanafaa vinginevyo umejaza ujinga.

Mwisho hakuna Rais ambae Kwa miaka ya karibuni anaweza kumfikia Samia Kwa Kipimo chochote.

Wanaume wanachoweza Kwa sehemu kubwa ni kupayuka na Magufuli ni panthetic failures kwangu.

Huwezi kuwa na Rais ameshindwa anasingizia sgr na Wazungu Kila kitu,punguani.Umewahi sikia Samia anasingizia kitu?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Akigombea mama yako tutamchagua.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Subri mwaka huu tunamkaribisha Samia kugombea mwakani kwa kuhakikisha vijj na mitaa yote ipo CCM, mwakani ni kuteremka tu na DR SSH
Sukima gang Hadi saizi ukiwaambia tuweke ulinganisho wa kitakwimu kati ya Samia na Magufuli hawawezi maana kamzidi.

Hata huko kwenye vyombo wanajua fika kabisaa kwamba Samia ameleta Mageuzi makubwa achilia mbali Changamoto ndogo ndogo ambazo ziko everywhere Duniani.
 
Anaweza awe na mapungufu yake hasa ya kuwaamini wasaidizi wske ambao mostly wanafeli, lakn ni one of the best president tanzania tulishwahi.kuwa nao. Kama ni ubaguzi kwa jnamna unavyo sema basi hamfikii magu hata tone.

Ila kwa nnavyokujua ww na ulipo, hii ujumbe una nia ya kuwanasa watu ujue fikra zao
Anaamini wezi wezake na si kama hajui
 
Kwa Awamu ya kwanza awamu hii alikua anammalizia Magu awamu yake INAANZA 2025
Kwanza Bora Magu alikuwa,angekuwepo Hadi Leo hii Nchi ingekuwa ime collapse kitambo na watu wenye pesa wamekimbia Nchi.

Wangebakia maskini wasio na Msaada zaidi ya kumshangilia Jiwe wakati wanakufa Kwa umaskini
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Ukiacha huyu mama ambaye anajitahidi sana kuondoa umaskini tulionao nani mwingine mwenye huruma na sisi?mbowe?lema?au slaa? sometimes mnataka tu kuaababisha tuwatukane nyie wala ganja
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.
Hana sifa.
Hana uwezo.
Ni mbaguzi.
Hatufai.
Akigombea 2025.
Hakuna wa kumkataza 2030.
Tumkatae na mambo yake yote.
Mabandiko kama haya ndio yanashusha credibility ya JF, unamchukia mtu kwa chuki tuu na sio kwa hoja!.
Unadai
1. Hana sifa- sifa gani ambazo Rais Samia hana?.

2. Hana uwezo.- uwezo gani ambao Rais Samia hana?.

3. Ni mbaguzi kivipi?

4. Hatufai kivipi wakati kila uchao anafanya makubwa?.

Tumkatae na mambo yake yote kwa chuki tuu bila sababu?. Watanzania sio misukule tena.
P
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
....mimi naamini busara itamuongoza atapumzika
 
Ukiacha huyu mama ambaye anajitahidi sana kuondoa umaskini tulionao nani mwingine mwenye huruma na sisi?mbowe?lema?au slaa? sometimes mnataka tu kuaababisha tuwatukane nyie wala ganja
Samia ndio Rais pekee ambae anaondoka umaskini Kwa watu Kwa vitendo na sio blaa blaa za Sgr,sijui bwawa and such nonsense.

-Ajira hana mfano
-Uvuvi ndio usiseme
-Kilimo ndio kabisaa ni kimbilio
-Biashara Sasa ni faidia Kwa kwenda mbele
-Maji ,mama ametuliwa ndoo Kila Kijiji kina mradi wa bomba
-Afya huko ndio kamwaga pesa ,kusomesha Wataalamu,kanunua vifaa tiba yaani ni bam bam
-Miundombinu Tarura ni shahidi hakuna tena kilio Cha barabara Vijijini
-Viwanda na uwekezaji vinazidi.kufinguka
-Mapato ya Nchi mara 2 ya miaka 5 ya Mwendazake
-Elimu yaani hapo usiseme.

Nasisitiza hakuna System ya kipumbavu Duniani inaweza mpoteza Rais dizaini ya Samia,never ever.

Kazi iendelee 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2w1T_rqrHk/?igsh=MXczZGVuenByZXVqbw==
 
Anaweza awe na mapungufu yake hasa ya kuwaamini wasaidizi wske ambao mostly wanafeli, lakn ni one of the best president tanzania tulishwahi.kuwa nao. Kama ni ubaguzi kwa jnamna unavyo sema basi hamfikii magu hata tone.

Ila kwa nnavyokujua ww na ulipo, hii ujumbe una nia ya kuwanasa watu ujue fikra zao
Hebu nitajie ubaguzi wa magu hata kidogo.
 
Mabandiko kama haya ndio yanashusha credibility ya JF, unamchukia mtu kwa chuki tuu na sio kwa hoja!.
Unadai
1. Hana sifa- sifa gani ambazo Rais Samia hana?.

2. Hana uwezo.- uwezo gani ambao Rais Samia hana?.

3. Ni mbaguzi kivipi?

4. Hatufai kivipi wakati kila uchao anafanya makubwa?.

Tumkatae na mambo yake yote kwa chuki tuu bila sababu?. Watanzania sio misukule tena.
P
Mwambie aweke vigezo na tupime Moja baada ya mwingine.

Rais hana uwezo ambae amekuwa Mapato ya Nchi mara 2 zaidi ya waliokaaa madarakani miaka 5?

Hana uwezo mtu ambae anasukuma Utitiri wa miradi across sectors tofauti na wale waliokuwa wanasingizia kwamba wanajenga Sgr sijui bwawa and such blaaa blaaa

Hana uwezo ambae ameleta Demokrasia na uhuru wa kujieleza hadi mtoa mada anatukana atakavyo tofauti na wale waliokuwa wamewasweka lock up?

Aisee watu kama mtoa mada wanatakiwa watokomezwe kabisa, Changamoto ndogo ndogo zilizopo ni za kawaida hakuna Nchi isiyo na Changamoto and they are being dealt for.
 
Alishasema hatogombea , Gazeti la Uhuri liliandika , sasa kwanini mnamlisha maneno ?
Msemaji wa CCM kasema mbinguni wamemchukulia fomu ya urais.
Waalimu walishachanga hela za kulipia fomu na kazipokea.
Sasa unafata maneno au matendo?
 
Mwambie aweke vigezo na tupime Moja baada ya mwingine.

Rais hana uwezo ambae amekuwa Mapato ya Nchi mara 2 zaidi ya waliokaaa madarakani miaka 5?

Hana uwezo mtu ambae anasukuma Utitiri wa miradi across sectors tofauti na wale waliokuwa wanasingizia kwamba wanajenga Sgr sijui bwawa and such blaaa blaaa

Hana uwezo ambae ameleta Demokrasia na uhuru wa kujieleza hadi mtoa mada anatukana atakavyo tofauti na wale waliokuwa wamewasweka lock up?

Aisee watu kama mtoa mada wanatakiwa watokomezwe kabisa, Changamoto ndogo ndogo zilizopo ni za kawaida hakuna Nchi isiyo na Changamoto and they are being dealt for.
Naunga mkono hoja.

Bado Lucas nae aje.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Rais Samia ni;

1. Mtu mwadilifu mwenye hofu ya Mungu.

2. Mtenda haki sio mwonevu wala mbaguzi.

3. Anaye heshimu na kuwapenda watu/viongozi wa dini zote.

4. Mtu asiye penda majungu sio MNAFIKI.

5. Mpole mwenye huruma kwa binaadamu wote.

6. Mpenda maendeleo kwa wananchi wake.

7. Mzalendo wa kweli kwa Taifa lake.

8. Mpambanaji asiye choka.

Uchaguzi wa 2025 hakuna wa kushindana nae kwa sifa hizo.

9.
 
Bora akapumzike.

We are tired of dramas.
Tumshukuru Mungu kwa yeye. Hata hivyo amejitahidi kulingana na uwezo wake. Tusitake kushindanisha mbio kati ya V8 na bajaji. Asante sana mama. Usiwasikilize kamwe chawa wanaokushawishi ugombee 2025 kwa maana wanakudanganya. Wewe malizia awamu ya magu, kisha katulie ukiwa umeleta katiba mpya.
 
Back
Top Bottom