Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sasa wewe unaweza ukakaa na akili zako kuamini matamko ya mwigulu ?View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Inawezekana na yeye anapata mgao mkubwa ndio maana haoni sababu ya kuwachukulia hatua.Kwa Rais samia asivyiwachukulia hatua wanaofanya ufisadi nchi yetu itashuka zaidi
Tusidanganyane, Tz haijawahi kufikia uchumi wa kati tangu ipate uhuru.Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Huoni aibu!!!!!!Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Kumbe Mwigulu ni chadema anapingana na boss wake!Ukweli mchungu
Chadema watapinga
Kwani tatizo ni nini hapo?Muhongo: Standard ya Dunia Binadamu wa Chini anatakiwa kutumia tsh 5200 kwa Siku
Kila awamu wanasema anaupiga mwingi tukajuwa sasa twapanda zaidi kumbe twashuka! Sasa kuupiga mwingi kupoje?View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Juzi tu msukuma na yule mbunge mwingine muhongo wakasema waongo leo imekuwa kweli?Kumbe Mwigulu ni chadema anapingana na boss wake!
Alokudanganya nani? Kawaambie World Bank na IMFTusidanganyane, Tz haijawahi kufikia uchumi wa kati tangu ipate uhuru.
Ina maana wewe kuona hali za maisha ya watz ni hadi uambiwe na WB?Hakika huna akili.Alokudanganya nani? Kawaambie World Bank na IMF
Ni sayansi ya uchumi na imani yako haiathiri chochote.Mimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.
Kuna viashiria a.k.a indicators za uchumi sio swala la wewe ndondocha 'unavyoona hali za maisha'. Umeishia darasa la ngapi? Mbona hata kwenye civics form 2 wanafundishaIna maana wewe kuona hali za maisha ya watz ni hadi uambiwe na WB?Hakika huna akili.
TuthibitishieWewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Nipe kiashiria kimoja cha kukua kwa uchumi wa tz.Kuna viashiria a.k.a indicators za uchumi sio swala la wewe ndondocha 'unavyoona hali za maisha'. Umeishia darasa la ngapi? Mbona hata kwenye civics form 2 walifundisha
Kwa std hiyo basi watz wengi sana wanaishi below the poverty line.Muhongo: Standard ya Dunia Binadamu wa Chini anatakiwa kutumia tsh 5200 kwa Siku
2025 Rais akiwa Mh. Samia Suluhu, hali itakuwa mbaya zaidi.Why 2025 huyu mother naee
Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.2025 Rais akiwa Mh. Samia Suluhu, hali itakuwa mbaya zaidi.
Naomba itokee bahati nzuri Rais awe mwingine hata akitokea CCM, lakini awe na uchungu na uchumi wa wananchi wake. hali ni ngumu kwa sasa, bei ya vyakula ni kubwa kuliko kipato, kipato kimekuwa hakitoshi, kimeshuka mara mbili, kama ulikuwa unapata 10,000 kwa siku, kwa sasa ni 5,000.
Unalipia pesa ngapi hilo darasa? Au unataka cha bure??Nipe kiashiria kimoja cha kukua kwa uchumi wa tz.
Ndio maana yake!Kwa std hiyo basi watz wengi sana wanaishi below the poverty line.
How much should I pay u per lesson in terms of Us dollar ?Unalipia pesa ngapi hilo darasa? Au unataka cha bure??