cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Anamvutia kasi ili iweje?Sio kwamba anamuogopa,anamvutia kasi tu...
Rais anatakiwa awe na maamuzi magumu......mbona magu hajamvutiaga kasi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamvutia kasi ili iweje?Sio kwamba anamuogopa,anamvutia kasi tu...
Zipi wakati ni kweli? Fafanua tukuelewe asemeje paka mafuta sentensi yako hiyo fupi.Acha hizo
Mwigulu anamtishia mama kuwa "wapenzi wa Yanga wote na Walutheri" nimewashika hivyo kuwa na hakika ya kura zao.
Na kwa vile hana uhakika ni kweli au uongo basi anamuogopa.
WamerogwaMbona iko wazi hiyo? Shida ya nyie chawa mnatumia jicho jingine lisilo rasmi kuona mambo!
HAWA NDO WAMEMUWEKA MADARAKANI USIDHANI NI KITU RAHISI WEWE.
Hivi TRA Iko chini ya wizara gani! Ofisi ya Rais, Makamu wa Rais au PM? Kwa nn Nchemba hahusiki!Ndio hatukatai Mwigulu ni poyoyo, ila anahusuka vipi na administration za kodi mpaka abebe lawama za migomo ya wafanyabiashara ambao hawataki kufuata sheria za tax administration na awapendi kulipa kodi.
Bora huyo mama alivyoamua kupeleka mtaalamu wa kodi maana uwa anajiropokea tu, eti Mwigulu kamshauri kuanzisha TRĄB/TRAT vitu ambavyo vipo tayari.
Not sure ata kama anajua hiyo ni ‘alternative dispute resolution’ (mediation/arbitration) ambayo inatakiwa kuwa neutral kwenye kusikiliza dispute, yeye anasema iwe chini ya TRA.
Yaani wewe unabishana madai ya kodi na TRA halafu msikilizaji awe TRA, vitu wanavyoropoka hawa viongozi wetu unaona kabisa hao wasaidizi wao huko mawizarani na Ikulu hamnazo; surely wasaidizi wa raisi wanatakiwa kujua technicality za vitu anavyoongea.
Niguse ninukeMoja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.
Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.
Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.
Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.
Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.
Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.
katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.
Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.
Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.
Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.
Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.
Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.
Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.
Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.
Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR
Muwe na Jumapili njema.
Mwigulu anacheza kama Luis Suarez anadaka mpira golini na si golikipa, inakuwa penalty. Golikipa anaitoa wanaingia robo fainali 2010 South Africa hiyo. Pengine makosa yake ya makusudi yanaiikoa CCM. Utajuaje bwn!Mwigulu yupo hapo Kwa kazi moja tu, kutafuta pesa za uchaguzi 2025. Kumbuka wakati mwingine mwenye timu huamua nania acheze wewe kocha utafanyaje?.
Ni mimiWho are you?? Acha vichekesho,wewe ndo uachane na mada ambazo huzielew.
Thanks Chief kwa input,but all in all mama pamoja na power aliyonayo ana hesitate kufanya maamuzi!Hivi unacheza na Nguvu ya Rais kwa Katiba tuliyo nayo?
Kwa kifupi muda ulobaki anaweza akamfyatua yeoyote na akashinda tu kwa Mizengwe yao ule ile ya CCM nambariwani ,
Ukishakuwa mgombea Urais kupitia CCM unakuwa huma unachoogopa kwasababu wanaopiga kura ni Maiti, na wanaopokea matokeo ni maiti hata mpige kura watangaze matokeo ya Mwaka 2020 ila wabadili majina tu kwa wagombea bado watanzania wataona hayawahusu wao ni kuendelea na maisha mengine!
Mgombea wa CCM aliyeogopa uchaguzi alikuwa 1995 Mkapa tu ila backup ya Nyerere ikawa inamliwaza, pale palikuwa ni jaribio ambalo hata walio kwenye system wengine walitaman kuchagua upinzani , ila siku hizi baada na Upinzani nao kutokuwa serious kwa baadhi ya Maeneo watanzania ndo wakalala Pono kabisa !
Britanicca
Duh! Mbona kama unamsagia kunguni Mwigulu? tupendane tutakiane kheri ndg! kupata kwa Mwenzio ipo siku nawe Mungu atakuona!Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.
Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.
Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.
Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.
Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.
Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.
katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.
Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.
Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.
Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.
Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.
Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.
Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.
Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.
Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR
Muwe na Jumapili njema.
Hapana kaka, simwangalii personal as an individual, nafasi yake na utendaji wake, jeuri yake, hukumbukuki alishawahi SEMA tuhamie Burundi!!???Duh! Mbona kama unamsagia kunguni Mwigulu? tupendane tutakiane kheri ndg! kupata kwa Mwenzio ipo siku nawe Mungu atakuona!