Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Huyo ndio mchumi pekee tegemeo Kwa mama kuandika proposal za mikopo wanayopiga pamoja!!

Mwigulu no chaguo la msoga na no desciple mwaminifu wa Mzee was msoga!!

Hawezi mgusa huyo no ngumu sana coz hakuna mwingine mwenye uwezo was kumpigisha mama deal za fedha ndeefu za kula Kwa urefu was kamba kama Mwigulu!!!

The state wajipange tu hapo 2025 !
 
Ok, sawasawa na ndio maana nikasema hawezi Kumgusa, kumbe ma amekuwa Blackmailed 😅🤔
 
Huyo ndio mchumi pekee tegemeo Kwa mama kuandika proposal za mikopo wanayopiga pamoja!!

Mwigulu no chaguo la msoga na no desciple mwaminifu wa Mzee was msoga!!

Hawezi mgusa huyo no ngumu sana coz hakuna mwingine mwenye uwezo was kumpigisha mama deal za fedha ndeefu za kula Kwa urefu was kamba kama Mwigulu!!!

The state wajipange tu hapo 2025 !
Mkuu nasikia sauti kwenye uandishi wako ,kama we ndo Mwigulu mwenyewe, hii ni kama ID nyingine Yako wewe Mwigulu, samahani lakini!
 
Ndio hatukatai Mwigulu ni poyoyo, ila anahusuka vipi na administration za kodi mpaka abebe lawama za migomo ya wafanyabiashara ambao hawataki kufuata sheria za tax administration na awapendi kulipa kodi.

Bora huyo mama alivyoamua kupeleka mtaalamu wa kodi maana uwa anajiropokea tu, eti Mwigulu kamshauri kuanzisha TRĄB/TRAT vitu ambavyo vipo tayari.

Not sure ata kama anajua hiyo ni ‘alternative dispute resolution’ (mediation/arbitration) ambayo inatakiwa kuwa neutral kwenye kusikiliza dispute, yeye anasema iwe chini ya TRA.

Yaani wewe unabishana madai ya kodi na TRA halafu msikilizaji awe TRA, vitu wanavyoropoka hawa viongozi wetu unaona kabisa hao wasaidizi wao huko mawizarani na Ikulu hamnazo; surely wasaidizi wa raisi wanatakiwa kujua technicality za vitu anavyoongea.
 
Hakuna chembe ya chuki hata kidogo.
Mada Ina ukweli tupu, rejea issue ya Kariakoo mwaka Jana na mwaka huu.

Alipewa maelekezo,amalize tatizo, kama angekuwa amemaliza manake kusingetokea na mgogororo Tena.
Mwigulu alipuuza maagizo ya PM.
Umewahi kujiuliza kwa akili ya KUBWA YA KUJAA KWENYE KISODA, kwanini Kamishna Mkuu kuondolewa???

Kuna linalomuhusu Kamishna Mkuu/ TRA ambalo halihusiani na wizara, na Waziri Mwenye dhamana??

Kuhusu Matusi na lugha chafu nakusamehe, naomba mods não wakusame.

Najua sio kosa lako , MIMBA"CHANGA Inakusumbua.
Kwahiyo punguza shobo kujionggezea shida.
Mwigulu ahusiki na ukusanyi wa kodi.

Utaratibu wa kukusanya kodi unaongozwa na sheria.

Na administrator wa sheria ni TRĄ.

Uwa wanajiropokea tu hao viongozi wakikutana na wafanyabiashara, TRA wanaitikia tu upuuzi wao mbele ya kadamnasi.

Wakitoka hapo sheria inaendelea kufanya kazi katika kukusanya kodi.

Ni TRA pekee ndio mkusanya kodi hakuna waziri wala raisi wa kuwapangia bali ni utaratibu wa sheria ndio unaofuatwa.

Huyu popoma Mwigulu labda atimuliwe kwa mambo mengine, Iła kodi taratibu za ukusanyaji awezi influence hana hayo mamlaka.
 
Ila PM anadharaulika sana, maagizo yake hayatekelezwagi. Mwamba ni kama kivuli tu.
Raisi amewameza PM na VP, yaani hawa wawili hawanaga ile nguvu kumshinda hata DC.
 
Kasome upya katiba ya nchi yako na ile ya CCM ndo ujue nguvu ya Mama Samia kama rais na mwenyekiti wa chama. Kama Rais anaweza kung'oa kiongozi wa mhimili mwingine wa serikali huyo Mwigulu ni dakika sifuri anapigwa chini. Pia jikumbushe jinsi mwenyekiti wa CCM JK Nyerere alivyomg'oa madarakani Rais wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Kijana acha mchezo na Rais wa TZ ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Remote je? Acha ujuha wewe!
 
Mwigulu ahusiki na ukusanyi wa kodi.

Utaratibu wa kukusanya kodi unaongozwa na sheria.

Na administrator wa sheria ni TRĄ.

Uwa wanajiropokea tu hao viongozi wakikutana na wafanyabiashara, TRA wanaitikia tu upuuzi wao mbele ya kadamnasi.

Wakitoka hapo sheria inaendelea kufanya kazi katika kukusanya kodi.

Ni TRA pekee ndio mkusanya kodi hakuna waziri wala raisi wa kuwapangia bali ni utaratibu wa sheria ndio unaofuatwa.

Huyu popoma Mwigulu labda atimuliwe kwa mambo mengine, Iła kodi taratibu za ukusanyaji awezi influence hana hayo mamlaka.
Nani anafuata sheria Tanzania wewe kilaza?
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.

Kwa hiyo itakuwa kila ukitokea mgomo wa wafanyabiashara Kamishna Mkuu wa TRA na Waziri wa fedha watakuwa wanaondolewa kwenye nafasi zao ?

Mleta mada hebu Naomba ufafanuzi zaidi.

Kutumbua tumbua sio kutibu tatizo, vinginevyo kuwe na sababu nyingine zinazoambatana na tuhuma mbalimbali lakini swala la mgomo peke yake sizani kama ni Sawa kuwa sababu ya kutaka jamaa aondolewe.
 
POLE SANA KWA KUSHINDWA KUZIELEWA EVENTS ZINAZOENDELEA

HII MIGOGORO INAPANGWWA MAKUSUDI, NA TARGET YAO WAPANGAJI NI HUYO WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA MACHO YAKE; YUKO FEARED KUWA HUKO MBELE ANAWEZA AKAJA AKAWA NAMBA MOJA BAADA YA VIPINDI VYA MAMA KUMALIZIKA

KUNA VIRUS SOMEWHERE UTAKUJA KUMFAHAMU TU MBELE YA SAFARI. ANGALIA VIZURI MATUKIO
 
Pengine nguvu ya Rais wa JMT unafanya nayo mchezo mkuu. Kama anaweza kumuondoa mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama, Mwigulu ni nani?
UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA BADO TUPO KWENYE EMERGENCE BAADA YA KUONDOKEWA NA VIONGOZI KADHAA WA NGAZI ZA JUU KWA MKUPUO, ILA SASA WENYE NCHI HAWAWEZI KUKUELEZA KUWA UPO KWENYE EMERGERNCE KWA SABABU UNAWEZA UKATAHAYARI
WAS IT REALLY ........19?
 
POLE SANA KWA KUSHINDWA KUZIELEWA EVENTS ZINAZOENDELEA

HII MIGOGORO INAPANGWWA MAKUSUDI, NA TARGET YAO WAPANGAJI NI HUYO WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA MACHO YAKE; YUKO FEARED KUWA HUKO MBELE ANAWEZA AKAJA AKAWA NAMBA MOJA BAADA YA VIPINDI VYA MAMA KUMALIZIKA

KUNA VIRUS SOMEWHERE UTAKUJA KUMFAHAMU TU MBELE YA SAFARI. ANGALIA VIZURI MATUKIO
Hamna nisicjoelewa, hakuna Cha pekee, ameshindwa kutatua mgogororo Toka mwaka Jana, na mwaka huu pia.

Kwahiyo huwezi SEMA anayengenezewa zengwe. Kama wizara inamshinda kwa minor issues atawaeza Urais?? Acha kumu overate.
Atabaki kuwa Rais wa kwenye MAWE aliyoyaandika 2015 .

Kumwazia u Number Moja ni VICHEKESHO VYA HALI YA JUU.
 
Kwa hiyo itakuwa kila ukitokea mgomo wa wafanyabiashara Kamishna Mkuu wa TRA na Waziri wa fedha watakuwa wanaondolewa kwenye nafasi zao ?

Mleta mada hebu Naomba ufafanuzi zaidi.

Kutumbua tumbua sio kutibu tatizo, vinginevyo kuwe na sababu nyingine zinazoambatana na tuhuma mbalimbali lakini swala la mgomo peke yake sizani kama ni Sawa kuwa sababu ya kutaka jamaa aondolewe.
Jiulize kwanini kuondolewa,kama issue ya mgomo! Kariakoo ni Sehemu muhimu bkwa uchumi wa nchi.

Narudia kama Kamishna kuondolewa, Kuna nini kilichomuondoa ambacho hakiigusi wizara??

Narudia tena mwaka Jana alipuuza maagizo ya PM, na mwaka huu ikarudia tena!
Kifupi Mwigulu anapwaya kwenye nafasi yake hafiti hata kidogo.

Punguza mahaba , acha kupenda vitu Blindly.
 
Hamna nisicjoelewa, hakuna Cha pekee, ameshindwa kutatua mgogororo Toka mwaka Jana, na mwaka huu pia.

Kwahiyo huwezi SEMA anayengenezewa zengwe. Kama wizara inamshinda kwa minor issues atawaeza Urais?? Acha kumu overate.
Atabaki kuwa Rais wa kwenye MAWE aliyoyaandika 2015 .

Kumwazia u Number Moja ni VICHEKESHO VYA HALI YA JUU.
Achana na MATUKIO AMBAYO HUWEZI kuyaona KWA usahhi unaohitajika, endelea kutafuta pesa umalize lile ghorofa lako unaonekana wewe NI mjasiriamali. HAYA MATUKIO waachie WATU wengine
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.
Hivi unamfahamu Kidata?
1.Teuzi za Upendeleo
Amekuwa akiteua Mameneja wa Mikoa na Wasaidizi kwa ngazi ya Ukanda/ Ukabila / Udini (Kanda ya ziwa# .kati ya Mikoa 33 Mameneja wa Mikoa 27 ni watu wa kutoka kwenye Kabila lake.# Mara/ Usukumani.
Mameneja wasaidizi 54 kati ya 72 wote ni kutoka ngazi za familia.

2.Uteuzi wa watu wasio na Sifa# Udini au Kuwapa Ndugu zake.Meneja wa Mikoa Kama Kariakoo,manyara, mbeya, dodoma, Mara wote ni ndugu zake.

3.Mameneja wasaidizi ambao ni ndugu zake na hawana sifa.# Meneja Msaidizi Mkoa# Audit Tanga,Mbeya,Shinyanga,Manyara,na Mara.
4.Nafasi za Kupeana kwa Undugu na Kuhamisha watu kwa kuwalipa zaidi ya Milioni 100m.meneja Wa Mikoa ambao ni ndugu zake amekuwa akiwahamisha ili wapate hela za Serikali Mfano
(a).Dickson Qamara-Kariakoo, (b).Nassoro- Mara. (c).Joshua- Manyara (d)Maro - Dodoma.
(e)Mwita-Dodoma. (f)Castro -Kagera. (g)Chacha -Morogoro.

5. Mameneja wote ndugu zake Kila mwezi wanampeleka Rushwa wastani wa 200m mpaka 500m kwa kuchanga na Kuja Dar Kumsalimia. WAPO MAMENEJA 15 AMBAO WANA GROUP LAO LIMEANDIKWA ASANTE BABA.

6. Amekuwa akimkingia kifua kamishna Mashiba wa Investigation Kwa sababu ni mtu wa kanda ya Ziwa, huyu jamaa mara nyingi amekuwa akituhumiwa kuwabambikia kesi wafanyabiashara wakubwa na mwishoe anaishia kuchukua rushwa, hata kwenye mgomo wa kwanza na wa pili wa Kariakoo amekuwa akitajwa wazi wazi na wafanyabiashara ya kuwa ni mla rushwa.Huyo Mashiba amekuwa tajiri sana na Mali nyingi mno, na ni kamishna anaongoza Kwa utajiri kuliko kamishna yeyote yule na mtu yeyote aliyewahi kuwa kamishna tangia TRA ianzishwe, na Huyo kamishna Mashiba ana hadi shule ya kisasa iliyopo wilayani Magu kata ya kisesa mkoani Mwanza, na hiyo shule inaitwa Busara. Mashiba na Kidata wanakula wote madili ya rushwa ya mabilioni tu na hawataki rushwa ya mamilioni.
7. Amekuwa na tabia ya kutembea na wafanyakazi wa kike na wengine wake za watu wa mamlaka ya TRA na kuwapa vyeo hata kama hana sifa.. alikuwa na hawara wake ambae alimpa umeneje ilala ila huyo hawara wake aliharibu akamuhamishia Morogoro ili kuficha mabaya yake.
8. Kuna mtu anaitwa Anangisye Mtafya, huyu alishawahi kusimamishwa kazi na waziri mkuu Majalaiwa Kwa tuhuma za kutorosha makontena bandarini ila Kidata alivyoingia madarakani akamrudisha hapo hapo bandarini kuwa Meneja, na huyu Meneja ana uhusiano wa karibu na GSM na pia Mtafya alishawahi kupewa kiwanja mbezi beach na GSM na Kwa sasa anahusika na kuvusha makontena na mizigo ya Silent ocean bila kulipiwa Kodi ipasavyo bandarini.
9. Aliwatoa wafanyakazi wazuri Tunduma na kumpa Robert Busumabu umeneja wa mkoa wa Songwe wa Forodha -Tunduma. Na huyo ndugu yake Busumabu baada ya kupewa akachukua maafisa nane aliokuwa nao Kigoma na kuja nao Tunduma. Baada ya muda mfupi Meneja Busumabu akishirikiana na Seif Mkilindi walihusika na kuvalidate kontena 45 za vitenge na ambayo hiyo mizigo yote haikuvuka mpaka iliishia Dar, ambapo hapo serikali ilipata hasara ya zaidi shilingi 3.8 billion za kitanzania. Na baadae ya hilo kujulikana Kidata hakuwachukulia hatua yeyote Ile zaidi ya kumhamisha Meneja Busumabu kutoka Tunduma na kwenda kuwa Meneja Rukwa na Huyo mhusika Seif Mkilindi alihamishiwa kwenda Mkunye mkoani Mtwara kuwa officer Incharge. Na alifanya hivyo Kwa sababu na yeye alikuwa na mgao wake.
10. Kidata na afisa Chobya ambae yupo Mtukula wana shamba kubwa la kufuga ng'ombe wa kisasa wale wakutoka Uganda Aina ya Ankole lililopo mkoani Kagera na Huyo Afisa amekuwa akipata uhamisho wa mara Kwa mara ili aweze kujipatia pesa. Afisa Chobya alihamishwa kutoka Tunduma kwenda Mtukula Kwa ajili ya kuwa karibu na huo mradi wao ambapo mali nyingi hapo ni za Kidata.
11. Alikuwa ni mtu mwenye maneno mabaya ya kejeli na dharau Kwa wafanyakazi wa TRA na wafanyabiashara ambae walikuwa hawataki kumpa rushwa ya pesa na ngono.
 
Back
Top Bottom