Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.

HAWA NDO WAMEMUWEKA MADARAKANI USIDHANI NI KITU RAHISI WEWE.
 
Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR
"Mama akimaliza ziara ya Katavi atafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri, ambapo Nape na Makamba wataondolewa".

Maneno haya siyo yangu, ni ya mwanaJF aliyetabiri utenguzi na uteuzi wa mkuu wa TISS
 
Anagusika vizuri tu labda anamuheshimu sana lakini pia kumbuka watu wanaokaaga vitengo nyeti serikalini huwa wana mkono wa top wa serikali, so hata wawe na mapungufu wanavumiliwa kwasababu za kimaslahi walizonazo baina yao. Huwezi kuchukua kitengo cha mwigulu hivihivi tu. Nadhani umenielewq
 
Ikiwa hivyo itakuwa ushuhuda wa kuwa MWIGULU NI DUBWANA flani kubwa sana.

Akitengua inabidi awape ubalozi watoke TZ, vinginevyo atahujumiwa sana
 
Kama umeiba na mtu anajua Siri zako unaanzaje kumtoa
 
Anagusika vizuri tu labda anamuheshimu sana lakini pia kumbuka watu wanaokaaga vitengo nyeti serikalini huwa wana mkono wa top wa serikali, so hata wawe na mapungufu wanavumiliwa kwasababu za kimaslahi walizonazo baina yao. Huwezi kuchukua kitengo cha mwigulu hivihivi tu. Nadhani umenielewq
Shukrani mkuu kwa kujazia Nyama kwenye Uzi, ni kweliii Kuna combination of factors zinazo Fanya KIZIMKAZI amwogope MWIGULU, huenda tayari amekuwa Blackmailed, Kuna compromat 😎🤔🤔
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.
You have a good point bro, lakini ukweli ubaki tunaongozwa na kilaza na dhaifu bila kusahau tapeli kwasasa. Tusipoamua 2025 tutakwisha zaid
.
 
Back
Top Bottom