Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.
acha uchonganishi au unataka upewe wewe cheo hicho?watu mna roho mbaya sana
 
Mwigulu ana Waganga kutoka Gabon West Africa kawaweka hapo Dodoma, wale ni Blaaa tupu ndio wanaoumpumbaza Mama
 
Viongozi karibu wote wa awamu ya sita ni watu wenye maadili tata, ukijua undani wa tabia zao utatokwa na machozi
 
Mwigulu ndio TRA?
 
Mwigulu ndio TRA?
Use your gift of intellect ulopewa na Mungu, so that you will be capable to associate between TRA an Mwigulu.
Vinginevyo endelea kutia akili zako mfukoni.

To associate Idea ni level ndogo sana katika learning kuliko level ya kufanya Manipulation.

Kwahiyo kama huelewi nenda Facebook kacheze na watoto wenzako, uache kuchezea cm janja ya BABAKO.

Hapa ni mahali pa great thinker wenye uwezo wa KU DIGEST CONCRETE IDEAS, hutaki nenda REDIO Fm kuwasikiliza Mwijaku,Zembwela, Oscar Oscar, mada za hapa ni ngumu kuelewa ukiwa mtoto au una ubongo wa 5 MB .
Hopefully you understand DUDE 😎 😎 😎
 
Upuuzi tuu
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.
Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao
 
Back
Top Bottom