Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Jiulize kwanini kuondolewa,kama issue ya mgomo! Kariakoo ni Sehemu muhimu bkwa uchumi wa nchi.

Narudia kama Kamishna kuondolewa, Kuna nini kilichomuondoa ambacho hakiigusi wizara??

Narudia tena mwaka Jana alipuuza maagizo ya PM, na mwaka huu ikarudia tena!
Kifupi Mwigulu anapwaya kwenye nafasi yake hafiti hata kidogo.

Punguza mahaba , acha kupenda vitu Blindly.

Labda kama kuwepo na Sababu nyingine lakini mgomo pekee wa wafanyabiasha Eti utake kumuondoa Waziri mwenye zamana naona si sawa.
Halafu Kwanini mnatakaga kukomoana?!
Zikiwapo hoja na Sababu nyingine zenye mashiko yamkini inaweza kueleweka Kwamba kwa sababu ile na ile lakini sio swala la mgomo wa wafanyabiashara pekee utake atolewe.
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.

Kwanza hilo swala la mgomo wa wafanyabiashara limekaa kisiasa tu!
Kwa mtu au watu genuine kabisa wakisema wasimame kwenye haki na ukweli wa mambo hamna madai ya kiivyo Hasa pale.

Kwanza wengi hawasemi ukweli na haki.
Mifumo ikiwekwa Sawa ikachwa ufanye kazi wengi watarejesha flames kwa wamiliki wa majengo.
Tuseme ukweli tu bana tuache ushabiki maana tunajenga Taifa letu sote na vizazi vyetu.
 
Hivi unamfahamu Kidata?
1.Teuzi za Upendeleo
Amekuwa akiteua Mameneja wa Mikoa na Wasaidizi kwa ngazi ya Ukanda/ Ukabila / Udini (Kanda ya ziwa# .kati ya Mikoa 33 Mameneja wa Mikoa 27 ni watu wa kutoka kwenye Kabila lake.# Mara/ Usukumani.
Mameneja wasaidizi 54 kati ya 72 wote ni kutoka ngazi za familia.

2.Uteuzi wa watu wasio na Sifa# Udini au Kuwapa Ndugu zake.Meneja wa Mikoa Kama Kariakoo,manyara, mbeya, dodoma, Mara wote ni ndugu zake.

3.Mameneja wasaidizi ambao ni ndugu zake na hawana sifa.# Meneja Msaidizi Mkoa# Audit Tanga,Mbeya,Shinyanga,Manyara,na Mara.
4.Nafasi za Kupeana kwa Undugu na Kuhamisha watu kwa kuwalipa zaidi ya Milioni 100m.meneja Wa Mikoa ambao ni ndugu zake amekuwa akiwahamisha ili wapate hela za Serikali Mfano
(a).Dickson Qamara-Kariakoo, (b).Nassoro- Mara. (c).Joshua- Manyara (d)Maro - Dodoma.
(e)Mwita-Dodoma. (f)Castro -Kagera. (g)Chacha -Morogoro.

5. Mameneja wote ndugu zake Kila mwezi wanampeleka Rushwa wastani wa 200m mpaka 500m kwa kuchanga na Kuja Dar Kumsalimia. WAPO MAMENEJA 15 AMBAO WANA GROUP LAO LIMEANDIKWA ASANTE BABA.

6. Amekuwa akimkingia kifua kamishna Mashiba wa Investigation Kwa sababu ni mtu wa kanda ya Ziwa, huyu jamaa mara nyingi amekuwa akituhumiwa kuwabambikia kesi wafanyabiashara wakubwa na mwishoe anaishia kuchukua rushwa, hata kwenye mgomo wa kwanza na wa pili wa Kariakoo amekuwa akitajwa wazi wazi na wafanyabiashara ya kuwa ni mla rushwa.Huyo Mashiba amekuwa tajiri sana na Mali nyingi mno, na ni kamishna anaongoza Kwa utajiri kuliko kamishna yeyote yule na mtu yeyote aliyewahi kuwa kamishna tangia TRA ianzishwe, na Huyo kamishna Mashiba ana hadi shule ya kisasa iliyopo wilayani Magu kata ya kisesa mkoani Mwanza, na hiyo shule inaitwa Busara. Mashiba na Kidata wanakula wote madili ya rushwa ya mabilioni tu na hawataki rushwa ya mamilioni.
7. Amekuwa na tabia ya kutembea na wafanyakazi wa kike na wengine wake za watu wa mamlaka ya TRA na kuwapa vyeo hata kama hana sifa.. alikuwa na hawara wake ambae alimpa umeneje ilala ila huyo hawara wake aliharibu akamuhamishia Morogoro ili kuficha mabaya yake.
8. Kuna mtu anaitwa Anangisye Mtafya, huyu alishawahi kusimamishwa kazi na waziri mkuu Majalaiwa Kwa tuhuma za kutorosha makontena bandarini ila Kidata alivyoingia madarakani akamrudisha hapo hapo bandarini kuwa Meneja, na huyu Meneja ana uhusiano wa karibu na GSM na pia Mtafya alishawahi kupewa kiwanja mbezi beach na GSM na Kwa sasa anahusika na kuvusha makontena na mizigo ya Silent ocean bila kulipiwa Kodi ipasavyo bandarini.
9. Aliwatoa wafanyakazi wazuri Tunduma na kumpa Robert Busumabu umeneja wa mkoa wa Songwe wa Forodha -Tunduma. Na huyo ndugu yake Busumabu baada ya kupewa akachukua maafisa nane aliokuwa nao Kigoma na kuja nao Tunduma. Baada ya muda mfupi Meneja Busumabu akishirikiana na Seif Mkilindi walihusika na kuvalidate kontena 45 za vitenge na ambayo hiyo mizigo yote haikuvuka mpaka iliishia Dar, ambapo hapo serikali ilipata hasara ya zaidi shilingi 3.8 billion za kitanzania. Na baadae ya hilo kujulikana Kidata hakuwachukulia hatua yeyote Ile zaidi ya kumhamisha Meneja Busumabu kutoka Tunduma na kwenda kuwa Meneja Rukwa na Huyo mhusika Seif Mkilindi alihamishiwa kwenda Mkunye mkoani Mtwara kuwa officer Incharge. Na alifanya hivyo Kwa sababu na yeye alikuwa na mgao wake.
10. Kidata na afisa Chobya ambae yupo Mtukula wana shamba kubwa la kufuga ng'ombe wa kisasa wale wakutoka Uganda Aina ya Ankole lililopo mkoani Kagera na Huyo Afisa amekuwa akipata uhamisho wa mara Kwa mara ili aweze kujipatia pesa. Afisa Chobya alihamishwa kutoka Tunduma kwenda Mtukula Kwa ajili ya kuwa karibu na huo mradi wao ambapo mali nyingi hapo ni za Kidata.
11. Alikuwa ni mtu mwenye maneno mabaya ya kejeli na dharau Kwa wafanyakazi wa TRA na wafanyabiashara ambae walikuwa hawataki kumpa rushwa ya pesa na ngono.
Shukrani sana mkuu kwa haya madini uliyoporomosha hapa , kama Hali Iko hivyo , nchi hii inatisha sana .
Kwa mtindo huo inaweza kuwa mapato yanayoonekana kukusanywa vizuri, kumbe yangeweza kuwa zaidi ya hayo, mengineyo yanaishia kwa Viongozi.

Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wa kike ni hatari sana hasa wake za watu.

Aksante sana Chief bkwa very impressive input kwenye Uzi wangu.

Tusaidiane kupaza sauti kwa manufaa ya nchi yetu, tupaaze taarifa ovyo za ufisadi, najua upo jikoni, ndo maana umekuja na Datum za watu TRA namna WANAVYOPOMONDA Fedha.

Shukrani.🙏🙏🙏
 
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.

Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye dhamana.

Yalitolewa maelekezo na Waziri Mkuu, Mwigulu na TRA wakampuuza PM.

Juzijuzi mgomo wa wafanyabiashara KARIAKOO ulirejea Tena, kwa sababu zilezile na mazingira yaleyale.

Kwa lugha rahisi ni kuwa kumekuwa na Kudharau, Mwigulu alibehua maagizo ya PRINCIPAL assistant yaani Waziri Mkuu kuhusu kumaliza changamoto za wafanya biashara.

Tumeona Rais Samia amemtoa kafara Kamishna Mkuu wa TRA.

katika Mgogororo ule hamna linalomuhusu Kamishna lisilomiuhusu waziri wa Fedha.

Lakini Mama ameogopa kumgusa Mwigulu, na kamwe hawezi kumgusa Mwigulu kwa ajili ya woga wa Uchaguzi Mkuu 2025.

Mh Rais anaaminishwa kuwa Mwigulu, Makamba Jr na Nape Mnauye kuwa wao ndo watu potential ambao hawapaswi kuguswa hata wakiharibu.

Kifupi Mwigulu ni msanii tu, ambaye anajijenga mwenye kwa Urais.

Ni mtu Mwenye Dharau, anadharau PM na hamuogopi yeyote yule.

Kutokana na mazingira haya, na failures nyingi kwa wizara yake,hastahili kuendelea Kwenye hiyo nafasi.

Anaendelea kuwepo kwa sababu Mh Rais ,kati ya watu anawaogopa sana ni Mwigulu Mchemba.

Ningekuwa mimi, Nape , Mwigulu, Makamba Piga Ubalozi huko Masharki ya mbali, ondoa kwenye local politics,watakuharibia hao kulekea uchaguzi mkuu.
Ukicheka na nyani unavuna mabua.

Narudia MAMA HANA UWEZO WA KUMFANYA CHOCHOTE KILE MWIGULU MCHEMBA, NAONGEZA NA NAPE NA MAKAMBA JR

Muwe na Jumapili njema.
Niguse ninuke

BM 2019
 
Achana na MATUKIO AMBAYO HUWEZI kuyaona KWA usahhi unaohitajika, endelea kutafuta pesa umalize lile ghorofa lako unaonekana wewe NI mjasiriamali. HAYA MATUKIO waachie WATU wengine
Who are you?? Acha vichekesho,wewe ndo uachane na mada ambazo huzielew.
 
Nani anafuata sheria Tanzania wewe kilaza?
Kuongozwa kwenye kazi kwa na taratibu za sheria ni swala moja, na wahusika kufuata sheria ni swala jingine.

Iła kwenye taratibu za kukusanya kodi kila siku waziri wa fedha, raisi, PM, Makamu wa raisi na mwingine yeyote unaemfikiria wewe nje ya hawana mkono;

TRA inafanya kazi kwa mijibu wa sheria mapungufu ya kiutendaji kwenye uhafifu ni mbinu mbovu za management upande wa HR ya TRA kwenye usimamizi.

Kwa kusikiliza sababu za mgomo wa wafanyabiashara hakuna mtu kwenye baraza la mawaziri anaweza tatua kiholela vile huwa wqnajiripokea tu kufurahisha kadamnasi na saa zingine kuchochea tatizo kwa kutoa kauli ambazo ni unrealistic kwa miongozo ya kazi TRA.

Shida kubwa zaidi ni kwenye sakata la kodi ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye maswala ya kodi katika hesabu zao.
 
Shukrani sana mkuu kwa haya madini uliyoporomosha hapa , kama Hali Iko hivyo , nchi hii inatisha sana .
Kwa mtindo huo inaweza kuwa mapato yanayoonekana kukusanywa vizuri, kumbe yangeweza kuwa zaidi ya hayo, mengineyo yanaishia kwa Viongozi.

Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wa kike ni hatari sana hasa wake za watu.

Aksante sana Chief bkwa very impressive input kwenye Uzi wangu.

Tusaidiane kupaza sauti kwa manufaa ya nchi yetu, tupaaze taarifa ovyo za ufisadi, najua upo jikoni, ndo maana umekuja na Datum za watu TRA namna WANAVYOPOMONDA Fedha.

Shukrani.🙏🙏🙏
Chukua uipin juu katika uzi wako. Hali si hali. Nakupa nyingine
 
Kasome upya katiba ya nchi yako na ile ya CCM ndo ujue nguvu ya Mama Samia kama rais na mwenyekiti wa chama. Kama Rais anaweza kung'oa kiongozi wa mhimili mwingine wa serikali huyo Mwigulu ni dakika sifuri anapigwa chini. Pia jikumbushe jinsi mwenyekiti wa CCM JK Nyerere alivyomg'oa madarakani Rais wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Kijana acha mchezo na Rais wa TZ ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Ni kweli ana nguvu hizo, lakini kumbuka Kuna kocha na Kuna kiongozi wa timu
 
Mimi naona tatizo kuwa hapa ni Sheria ZETU, ndo MAANA waziri ana laumiwa. Mh waziri na timu ya ya wataalamu wa Kodi wazipitie upya hizo sheria. Huwezi kuondoa tatizo bila kuangalia sheria na kifanyia marekebisho
 
Back
Top Bottom