Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

Kasome upya katiba ya nchi yako na ile ya CCM ndo ujue nguvu ya Mama Samia kama rais na mwenyekiti wa chama. Kama Rais anaweza kung'oa kiongozi wa mhimili mwingine wa serikali huyo Mwigulu ni dakika sifuri anapigwa chini. Pia jikumbushe jinsi mwenyekiti wa CCM JK Nyerere alivyomg'oa madarakani Rais wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Kijana acha mchezo na Rais wa TZ ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
 
Kuwa na mamlaka na kuweza kuyatumia mamlaka hayo ni vitu viwili tofauti
 
Kasome upya katiba ya nchi yako na ile ya CCM ndo ujue nguvu ya Mama Samia kama rais na mwenyekiti wa chama. Kama Rais anaweza kung'oa kiongozi wa mhimili mwingine wa serikali huyo Mwigulu ni dakika sifuri anapigwa chini. Pia jikumbushe jinsi mwenyekiti wa CCM JK Nyerere alivyomg'oa madarakani Rais wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Kijana acha mchezo na Rais wa TZ ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Hamna, MWIGULU NI DUBWANA KUBWA SANA, KUDEAL NAYE INAHITAJI MBINU.

Kumnyofoa Mwigulu ni sawasawa na KUCHEZEA SHARUBU AU PUMBU ZA SIMBA 🤣😅🤣😅
 
Kasome upya katiba ya nchi yako na ile ya CCM ndo ujue nguvu ya Mama Samia kama rais na mwenyekiti wa chama. Kama Rais anaweza kung'oa kiongozi wa mhimili mwingine wa serikali huyo Mwigulu ni dakika sifuri anapigwa chini. Pia jikumbushe jinsi mwenyekiti wa CCM JK Nyerere alivyomg'oa madarakani Rais wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Kijana acha mchezo na Rais wa TZ ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Katiba ni jambo moja, kufanya maamuzi ni kitu kingine
 
Back
Top Bottom