Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Na wewe ni njinga fulani usiye jitambua! Walipata ajira walimu elfu nane wewe unaleta ngonjera hapa! Alikuwa anaajiri kwa awamu! Kama huna jaira jiongeze pumbavu!
Mi napenda jk arudi tena madarakani indirectly ili aisawazishe nchi bila ya kutekwa na washamba wa kisuma ambao wenyewe kila kukija wanawaza msbarabara tu bila kujali human welfare
 
Jk amesharudi tayari lakini bado njaa inakunyoosha kisawasawa.

Fanya kazi vinginevyo utaliwa na washamba hapa mjini
Njaa gani tena. Njaa ilikwepo wakati wa jpm mkuu. Sasa hivi masoko ya mazao yanapatikani. Nimeuza korosho zangu na hivyo njaa haipo tena. Afadhari mungu kuliondoa lile lijamaa
 
Tuwe wakweli, aliwasha moto ama aliivuruga vilivyo hii sekta ya madini nchini.
 
Nape ameenda huko anaulizwa na wakulima kwa nini wakati wa Magufuli bei ya korosho ikikuwa 3300 lakini mwaka huu ni 2100?

Nape anajibu tatizo ni Magufuli aliharibu!!!
Jpm alipandisha Bei kibabe matokeo yake kilimo kikafa kabisa ndo Mana hata alipoenda mtwara kidogo afie huko Mana alipigwa bonge la radi kutoka juu wakamtoa fasta jukwaani
 
wewe kaka jambazi hebu acha kuniibia,halafu umelala kitandani [emoji38][emoji38].kaka jambaz anakuchoraaa anakuona hili fala kweli.
 
Hapana mkuu, watu wenye pesa na akili timamu ndiyo hawamtaki Jiwe,ila masikini na wenye upeo mdogo(kama wewe) hao ndiyo chama lake.
 
Hivi kwa nini Jiwe hapendwi na wana jf wote ukitoa sukuma gang tu?
Kwa vile asilimia 99 ni wapenzi na wanachama wa Chadema. Ila pale neno wote badili na kuita wengi maana ukisema wote ni asilimia mia wakati mimi ni mpenzi kindakindaki wa JPM na wala mimi si sukumagang.

Kidogo nikujuze kuwa asilimia 99 ya watu wazima 50+ walimuelewa JPM
 
Endeleeni kupiga madini maana kwa Rais huyu tumepigwa
 
Uko sahihi kwenye matumizi ya neno wote, nilitakiwa nisema wengi, ila pia hauko sahihi kusem watu wazima 50+ kuwa walimuelewa Jiwe, labda wale masikini au wanyonge.
 
Mimi siogopi kuwaeleza hata wapuuzi akina Stuxnet kuwa mimi ni mfuasi wa JPM kindakindaki
Nani ahangaike na misukule ambayo iko brainwashed na Dikteta wa Chato.? Subirini kufa tu kwa vile aliyekuwa anawalisha unga tulisha mfukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…