Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nende wapi?Nyama ya ngedere weye.๐๐๐๐Nitokee hapa libavicha we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nende wapi?Nyama ya ngedere weye.๐๐๐๐Nitokee hapa libavicha we
Kategwa nae kaingiamo mzima mzima!
Maji yashakorogeka!!
CCM ni pango la wayang'anyiTumepigwa tena!
Hao wanaomsindikiza ni sehemu ya kazi yao kufanya hivyo na huenda airport wakitokea ofisini.Anapunguza kodi kwenye pombe anaongeza kwenye mafuta!
Halafu na hizi safari za Dar-Dodoma, Dodoma-Dar huku akiungurumisha dege lenye kutumia gharama kubwa kodi za wananchi nalo linakera watu. Kila siku anawapa viongozi kazi ya kumsindikiza na kumpokea airport tu, hawapi fursa ya kutulia ofisini kufanya kazi.
CCM ni pango la wanyang'anyiAtatoboa akibadilika
Wapuuzi na wajinga kama nyie ndiyo mlijifanya mnamuelewa kwani ilikuwa ni kulipa visasa tu. Tuliwaeleza mkatuchukia tu na bado. Hatutakoma kuwakumbushaUmma wa watanzania walikuwa naye kabla ya kauli yake kuhusu katiba mpya.
Angali hajachelewa. Kutereza si kuanguka.
Hatoboi ataishia kama Indira ................Hivi huyu mama atatoboa hii miaka 4?
Kama wakuu wa mikoa na viongozi wa ulinzi na usalama kazi yao kuu ni kumsindikiza na kumpokea rais airport almost kila siku basi uko sahihiHao wanaomsindikiza ni sehemu ya kazi yao kufanya hivyo na huenda airport wakitokea ofisini.
Hizo Safari zote ni za kikazi huwa hatoki kusuka au kwenye sherehe fulani.
acha iendelee kunyesha ili tujue panapovuja.Kipi ambacho hakukijua au basi hata kuambiwa?
Kutenda haki tu? Mbona huo ndiyo wajibu wa kila mja?
Tunakoelekea kunaweza kuwe si salama sana.
Umetoa hoja nzito na murua kabisa!Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.
Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya:
1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo).
2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko.
3. Kuongeza kodi na tozo kwa wananchi katikati ya janga la Corona (wakati vigogo kodi haziwahusu).
4. Kuendelea kujikongoja na vita dhidi ya gonjwa la Corona (wakati vigogo mko salama).
5. Kuendeleza sera kandamizi dhidi ya haki za watu kujumuika.
6. Kutokuchukua hatua thabiti kulingana na ripoti za CAG.
7. Kuendekeza uwepo wa takrima kwa vigogo usiokuwa na tija.
8. Kunyamazia ukiukwaji wa katiba bungeni kuliko hata na wabunge kharam.
Haya yanataka matamko yako thabiti yenye kuzingatia sheria na katiba ya nchi ili kuyaweka sawa.
Kwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.
Machungu ya ukweli huu bila shaka ndiyo yaliyomfikisha mzee baba hapa:
View attachment 1859149
Vipi anapata kodi katikati ya gonjwa hili? Uamuzi wake wa kukomaa (rudimentary) tu kuwa ugonjwa huu haupo in desperation, mtu anaweza kuuelewa.
Kwa hakika tulipo, hakuna haja ya kumlaumu dobi. Kaniki ni rangi yake.
Ninawasilisha.
Siku katiba ikiwa imebadilishwa hutaona tena taratibu za mapokezi za aina hii.Kama wakuu wa mikoa na viongozi wa ulinzi na usalama kazi yao kuu ni kumsindikiza na kumpokea rais airport almost kila siku basi uko sahihi
Vizuri sana brazaj.Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.
Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya:
1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo).
2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko.
3. Kuongeza kodi na tozo kwa wananchi katikati ya janga la Corona (wakati vigogo kodi haziwahusu).
4. Kuendelea kujikongoja na vita dhidi ya gonjwa la Corona (wakati vigogo mko salama).
5. Kuendeleza sera kandamizi dhidi ya haki za watu kujumuika.
6. Kutokuchukua hatua thabiti kulingana na ripoti za CAG.
7. Kuendekeza uwepo wa takrima kwa vigogo usiokuwa na tija.
8. Kunyamazia ukiukwaji wa katiba bungeni kuliko hata na wabunge kharam.
Haya yanataka matamko yako thabiti yenye kuzingatia sheria na katiba ya nchi ili kuyaweka sawa.
Kwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.
Machungu ya ukweli huu bila shaka ndiyo yaliyomfikisha mzee baba hapa:
View attachment 1859149
Vipi anapata kodi katikati ya gonjwa hili? Uamuzi wake wa kukomaa (rudimentary) tu kuwa ugonjwa huu haupo in desperation, mtu anaweza kuuelewa.
Kwa hakika tulipo, hakuna haja ya kumlaumu dobi. Kaniki ni rangi yake.
Ninawasilisha.
Nyerere alikuwa hapigipigi misele ya ajabuajabu dailySiku katiba ikiwa imebadilishwa hutaona tena taratibu za mapokezi za aina hii.
Huyu wa sasa karithi haya mambo, yalianzishwa na Nyerere.
Nchi haiwezi kuongozwa kwa maelekezo ya CHADOMO.
Umma wa watanzania unaozungumzia wewe ni wapi. ..wewe wafia chadema ndio unaita Umma. .we unaakili kweli. .?