Rais Samia, hayupo mchawi, pafahamu ulipotuchanganya

Mkuu uliishi ukiwa mtu mzima enzi za utawala wa Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app

Una maana Nyerere huyu huyu:

1. ambaye wanae walikuwa wakisoma kwenye shule hizi hizi kama watanzania wengine?
2. ambaye alithamini mawazo tofauti na yake?
3. ambaye alipenda kama watanzania tushindane kwa hoja?

IMG_20210707_084839_278.jpg

Niendelee kuandika kumhusu gwiji huyu aliyefuzu kuacha legacy?

Kumbuka kuyajua ya Mars si lazima kuwepo huko 😂😂😂😂😂!
 
Yaani

Yaani matokeo yake viongozi wengi kazi zao zinaishia kuwa kupokea,kusindikiza na kuaga Airport , kuhudhuria uapisho na mikutano.......... kazi iendelee.
Pia ubunifu wa mtu unashindwa kuonekana muda wote anafikiria kumfurahisha boss wake.

Anashindwa kusimamia weledi alionao akibakia kuwa mtumwa wa kile anachodhania boss wake anakipenda na labda kitamfurahisha.
 
Watanzania wa fb ,tweeter ,jf ,insta vituko ni vingi
Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.
Hawa ndo walimfanya Lissu arudi speed ya radi akijua atashinda asubuhi,kilichompata atakisimulia Ikungi mpaka Israel atakapomuita.
Akaitisha maandamano happy ndo alijua JF anaweza akawa mtu mmoja na ID ishirini.

Mwendazake alijua wapiga kura Halisi wako kijijini ndo maana Kila Kijiji alitia timu,akimuacha mzee wa Ubelgiji kuswampa mjini kwa vijana ambao hata siku ya kupinga kura wanafuata madili ya pesa ya siku moja,wakipuuza maamuzi ya siku moja yatakayo wathili miaka kadhaa.
 
Wapuuzi na wajinga kama nyie ndiyo mlijifanya mnamuelewa kwani ilikuwa ni kulipa visasa tu. Tuliwaeleza mkatuchukia tu na bado. Hatutakoma kuwakumbusha
wakati huo wewe mwenye kadi ya ccm ukituma pesa hukatwi makato na tozo😅😅
 
Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.
Hawa ndo walimfanya Lissu arudi speed ya radi akijua atashinda asubuhi,kilichompata atakisimulia Ikungi mpaka Israel atakapomuita.
Akaitisha maandamano happy ndo alijua JF anaweza akawa mtu mmoja na ID ishirini.

Mwendazake alijua wapiga kura Halisi wako kijijini ndo maana Kila Kijiji alitia timu,akimuacha mzee wa Ubelgiji kuswampa mjini kwa vijana ambao hata siku ya kupinga kura wanafuata madili ya pesa ya siku moja,wakipuuza maamuzi ya siku moja yatakayo wathili miaka kadhaa.
Wewe sijui hata tukuweke kategori gani. Ule uhuni aliofanya yule mwenye laana magufuli ndio unaita uchaguzi wa Lissu kushindwa?? Anyway kikubwa Mungu amelitwanga kifo sasa hivi i limebaki mafuvu huko kuzimu.
 
Samia nchi imeshamshinda siyo siri sasa kabaki KUDEMKA TU!

Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.

Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya:

1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo).

2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko.

3. Kuongeza kodi na tozo kwa wananchi katikati ya janga la Corona (wakati vigogo kodi haziwahusu).

4. Kuendelea kujikongoja na vita dhidi ya gonjwa la Corona (wakati vigogo mko salama).

5. Kuendeleza sera kandamizi dhidi ya haki za watu kujumuika.

6. Kutokuchukua hatua thabiti kulingana na ripoti za CAG.

7. Kuendekeza uwepo wa takrima kwa vigogo usiokuwa na tija.

8. Kunyamazia ukiukwaji wa katiba bungeni kuliko hata na wabunge kharam.

Haya yanataka matamko yako thabiti yenye kuzingatia sheria na katiba ya nchi ili kuyaweka sawa.

Kwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.

Machungu ya ukweli huu bila shaka ndiyo yaliyomfikisha mzee baba hapa:

View attachment 1859149

Vipi anapata kodi katikati ya gonjwa hili? Uamuzi wake wa kukomaa (rudimentary) tu kuwa ugonjwa huu haupo in desperation, mtu anaweza kuuelewa.

Kwa hakika tulipo, hakuna haja ya kumlaumu dobi. Kaniki ni rangi yake.

Ninawasilisha.
 
Pamoja na yote kungali asubuhi. Angali na nafasi ya kupiga U-turn.

Pa kuanzia:

1. Atokee hadharani kusafisha hali ya hewa.
2. Baraza jipya la Mawaziri.

#2 is inevitable kama credibility yake March - June ina umuhimu kwake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.
Hawa ndo walimfanya Lissu arudi speed ya radi akijua atashinda asubuhi,kilichompata atakisimulia Ikungi mpaka Israel atakapomuita.
Akaitisha maandamano happy ndo alijua JF anaweza akawa mtu mmoja na ID ishirini.

Mwendazake alijua wapiga kura Halisi wako kijijini ndo maana Kila Kijiji alitia timu,akimuacha mzee wa Ubelgiji kuswampa mjini kwa vijana ambao hata siku ya kupinga kura wanafuata madili ya pesa ya siku moja,wakipuuza maamuzi ya siku moja yatakayo wathili miaka kadhaa.

Haaa haa haa 😂😂😂😂.

Ungefunguka tu zaidi mkuu. Hapo kwenye red ndipo kulikuwa kwake:

IMG_20210711_205649_038.jpg

Mwendazake aliwekeza kwenye ujinga wao na kuwa osha bongo vilivyo.

Kimsingi aliwafanya kuwa vyawa au misukule yake kamili akiwa hai au mfu 😂😂😂!

Cc: BAK
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Una maana Nyerere huyu huyu:

1. ambaye wanae walikuwa wakisoma kwenye shule hizi hizi kama watanzania wengine?
2. ambaye alithamini mawazo tofauti na yake?
3. ambaye alipenda kama watanzania tushindane kwa hoja?

View attachment 1859574

Niendelee kuandika kumhusu gwiji huyu aliyefuzu kuacha legacy?

Kumbuka kuyajua ya Mars si lazima kuwepo huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Sentensi yako ya mwisho ya kusema ...kuifahamu mars.. ukimaanisha kukiri kuto kuushuhudia utawala wake, umefanya jambo jema sana kuliweka wazi jambo hili.

Nyerere hupewa sifa za ziada kwa kuwa tu ni mwanzilishi na muasisi wa taifa hili kusiasa, lakini si kwa utawala bora na wa kidemokrasia kama unavyodhania.

Haya yote unayoyaona hivi sasa mfano kesi za ufisadi na uhujumu uchumi za kutokuwa na dhamana zina nafuu kuliko sheria zake kandamizi za kuweka watu kizuizini enzi hizo!

Hapakuwa na vidomo domo kama ilivyo hivi sasa ambapo hata kuna uhuru wa kuongea kwa key board, zamani ukionesha upinzani wa fikra wazi wazi unakuwa ni 'adui wa taifa', ni ndani kizuizini ama unapewa kifungo cha nyumbani cha kudumu unasahaulika.

Alikuwa mpenda vita, kila nchi anapeleka majeshi na misaada, wakati huo huku nyumbani wananchi wakiishi maisha hohehahe chini ya kiwango cha umaskini nk.nk.

Ni mengi sana ya hovyo kuyasema na kuyamaliza yote hapa.

Itoshe tu kusema kwamba kama Nyerere umemjua kwa kupitia historia, basi M/Mungu alikuepusha kuyaishi maisha dhalili sana kisiasa na kiuchumi hapa nchini Tz.

Mkuu heshima kwako. Kama binadamu walio tofauti na wanyama wengine kuwekeza katika kuyajua mambo ni muhimu sana. Hizi ni baadhi ya nukuu zake hayati baba wa taifa:

TOP 25 QUOTES BY JULIUS NYERERE | A-Z Quotes

Achilia mbali videos zilizopo. Nyerere aliishi Msasani kwenye nyumba ya kawaida. Hakujilimbikizia mali. Nyerere alikuwa mwenzetu.

Nyerere aliyaishi aliyokuwa akiyahubiri.

Yuko wapi hapa wa kumlimganisha naye?
 
Mkuu heshima kwako. Kama binadamu walio tofauti na wanyama wengine kuwekeza katika kuyajua mambo ni muhimu sana. Hizi ni baadhi ya nukuu zake hayati baba wa taifa:

Achilia mbali videos zilizopo. Nyerere aliishi Msasani kwenye nyumba ya kawaida. Hakujilimbikizia mali. Nyerere alikuwa mwenzetu.

Nyerere aliyaishi aliyokuwa akiyahubiri.

Yuko wapi hapa wa kumlimganisha naye?
Mh! Mkuu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoweza kuamini.
Lakini sisi wakongwe tulioishi enzi zake na kushuhudia utawala ule, tunaona sifa anazopewa baada ya kuwa amekwisha kuaga dunia ni za juu kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.

Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya:

1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo).

2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko.

3. Kuongeza kodi na tozo kwa wananchi katikati ya janga la Corona (wakati vigogo kodi haziwahusu).

4. Kuendelea kujikongoja na vita dhidi ya gonjwa la Corona (wakati vigogo mko salama).

5. Kuendeleza sera kandamizi dhidi ya haki za watu kujumuika.

6. Kutokuchukua hatua thabiti kulingana na ripoti za CAG.

7. Kuendekeza uwepo wa takrima kwa vigogo usiokuwa na tija.

8. Kunyamazia ukiukwaji wa katiba bungeni kuliko hata na wabunge kharam.

Haya yanataka matamko yako thabiti yenye kuzingatia sheria na katiba ya nchi ili kuyaweka sawa.

Kwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.

Machungu ya ukweli huu bila shaka ndiyo yaliyomfikisha mzee baba hapa:

View attachment 1859149

Vipi anapata kodi katikati ya gonjwa hili? Uamuzi wake wa kukomaa (rudimentary) tu kuwa ugonjwa huu haupo in desperation, mtu anaweza kuuelewa.

Kwa hakika tulipo, hakuna haja ya kumlaumu dobi. Kaniki ni rangi yake.

Ninawasilisha.
ccm ni walewale wahafhina waporaji wa rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom