Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Viongozi wengi wa CCM wanasema Katiba mpya,ni takwa/hoja ya wanasiasa,na walitoa sababu zifuatazo:
1). Kwenye Katiba ya 1977 Kama ilivyo fanyiwa marekebisho mbalimbali masuala mengi yamo,sema hayazingatiwi na watendaji wengi.isipokuwa masuala yafuatayo:
1).suala la tume huru ya uchaguzi,
2). suala la urai pacha,
3) viongozi wanaochaguliwa na wananchi wote,wasipo tekeleza ahadi zao,basi wananchi wa Jimbo husika wawe na haki ya kumuondosha katika nafasi hiyo,nk.
4). Viongozi wa CCM wanaamini kuwa hoja Katiba mpya ni wanasiasa,
5) wananchi wanachohitaji sana upatikanaji wa pembejeo za kilimo na masoko ya kuaminika ya mazao,
6) wananchi wanataka huduma za jamii Kama maji Safi na salama ili kutokomeza magonjwa ya milipuko na homa ya matumbo,
7).wananchi wanahitaji umeme wa uhakika ili wachakate mazao yao na viwanda vidogovidogo ili kujiongezea kipato/uchumi,
8).wananchi wanahitaji barabara za uhakika mikoani mpaka vijijini ili wananchi wasafirishe mazao yao kufikisha sokoni/kwa walaji kwa gharama nafuu( maana magari yataweza kufika vijijini na kuleta karibu na walaji)
Wananchi wanataka miunfombinu ya reli na bandari ya uhakika ili kusafirishia bidhaa/mazao mengi kwa gharama nafuu(Kama usafiri utakuwa nafuu hata bei ya mazao kwa mlaji wa mwisho itakuwa nafuu,)
9).wananchi wanataka huduma za shule na walimu wa kutosha wenye weledi kufundisha vijana wetu (msisitizo hapa ni mafunzo ya ufundi mchundo na Veta ambayo ni rahisi kujiari),
10). wananchi wanataka masoko ya ndani na nje ya uhakika kwa ajili ya mazao yao wapate fedha,
11).wananchi wanataka makazi Bora na mitaji waanzishe biashara nk(urasimishaji wa nyumba zilizojengwa kwenye maeneo yasiyopimwa ili wananchi wapate hati ya umiliki ambayo inaweza kutumika security kuombea mikopo kwenye taasisi za fedha nk).
12). wananchi wanahitaji kuhakikishiwa amani na Usalama wao(vyombo vya ulinzi na Usalama vyenye weledi kulinda nchi yetu na Rais wake ).
Hitimisho
1) Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa ameomba tumpe muda kidogo aweke mambo sawasawa .
2) Rais ameahidi kuendelea na mambo yote mazuri ambayo yalianzishwa na serikali ya awamu ya tano.
Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini haki yake tumpe,
3). Mama anaupiga,tumwache achape kazi,na madhari ameahidi kuwa suala la Katiba lipo palepale,tuvute Subira,na wakati muafaka ukifika tumkumbushe.
4).Katiba mpya ni muhimu lakini,kwa mfano mkulima/mfanyabiashara wa kawaida vipa umbele vyao (hata tukiwahoji nadhani itakuwa siyo Katiba mpya) ni pembejeo za kilimo,masoko,barabara za vijijin,umeme ,vituo vya afya na zahanati nk.