Rais Samia, hayupo mchawi, pafahamu ulipotuchanganya

Pia kayatupilia mbali yale aliyokua anayafanya JPM na kuanza safari yake. Imepelekea sasa hv watumishi kubweteka na kurudi ktk ile hali ya kuiona ni miungu watu
 
Anapunguza kodi kwenye pombe anaongeza kwenye mafuta!

Halafu na hizi safari za Dar-Dodoma, Dodoma-Dar huku akiungurumisha dege lenye kutumia gharama kubwa kodi za wananchi nalo linakera watu. Kila siku anawapa viongozi kazi ya kumsindikiza na kumpokea airport tu, hawapi fursa ya kutulia ofisini kufanya kazi.
 
Mama tunae mpaka 2025 na ukizingatia Mabeho na wote walio chini yake wamemhakikishia utii ndio kabisaa wale jamaa wa chokochoko inabidi silaha yao kuu iwe ni humu jukwaani na sio kwingineko.
 
Hao wanaomsindikiza ni sehemu ya kazi yao kufanya hivyo na huenda airport wakitokea ofisini.

Hizo Safari zote ni za kikazi huwa hatoki kusuka au kwenye sherehe fulani.
 
Umma wa watanzania walikuwa naye kabla ya kauli yake kuhusu katiba mpya.

Angali hajachelewa. Kutereza si kuanguka.
Wapuuzi na wajinga kama nyie ndiyo mlijifanya mnamuelewa kwani ilikuwa ni kulipa visasa tu. Tuliwaeleza mkatuchukia tu na bado. Hatutakoma kuwakumbusha
 
Hao wanaomsindikiza ni sehemu ya kazi yao kufanya hivyo na huenda airport wakitokea ofisini.

Hizo Safari zote ni za kikazi huwa hatoki kusuka au kwenye sherehe fulani.
Kama wakuu wa mikoa na viongozi wa ulinzi na usalama kazi yao kuu ni kumsindikiza na kumpokea rais airport almost kila siku basi uko sahihi
 
Kipi ambacho hakukijua au basi hata kuambiwa?

Kutenda haki tu? Mbona huo ndiyo wajibu wa kila mja?

Tunakoelekea kunaweza kuwe si salama sana.
acha iendelee kunyesha ili tujue panapovuja.
 
Umetoa hoja nzito na murua kabisa!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake Raia waliimkataa mioyoni mwao japo wengine kwa unafiki walijifanya rafiki zake .

Na baada ya kufa tukaona rangi zao halisi.

Mwambieni Huyo mama amekalia kiti Cha mamlaka Yuko hapo kwa niaba ya MUNGU kuwaongoza watu wa Taifa .

Asijitutumue na kupandisha mabega juu na kujikweza maana atashushwa Kama alivyoshusha yule allienda zake.

Asikilize sauti za wananchi ndio sauti ya MUNGU sio sauti za rafiki zake,mume wake,sheikh wake,mganga wake.

Kuna mmoja aliwahi sema "madaraka Ni Kama punje za mchanga kadiri unavyozikamata zaidi ndio hukuponyoka"

"Vox populi,vox dei"

Wanafalsafa hawakukosea
 
Vizuri sana brazaj.
 
Nchi haiwezi kuongozwa kwa maelekezo ya CHADOMO.

Hoja zote 8 hakuna moja ya mtu. Zote za kwake:

Methali 14:1 -- β€œThe wise woman builds her house, but the foolish pulls it down with her hands.”
 
Umma wa watanzania unaozungumzia wewe ni wapi. ..wewe wafia chadema ndio unaita Umma. .we unaakili kweli. .?

Ujinga wenu mkubwa uko kwenye kuibinafsisha nchi hii na watu wake kwenye vyama:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…