Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Yaani matokeo yake viongozi wengi kazi zao zinaishia kuwa kupokea,kusindikiza na kuaga Airport , kuhudhuria uapisho na mikutano.......... kazi iendelee.Siku katiba ikiwa imebadilishwa hutaona tena taratibu za mapokezi za aina hii.
Huyu wa sasa karithi haya mambo, yalianzishwa na Nyerere.
Bora ajiuzulu tu kama nchi imemshinda, asijetuletea mabalaa.
Hapa ndipo mawaziri wake wamejionesha akili zao zilivyoKwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.
Pia ubunifu wa mtu unashindwa kuonekana muda wote anafikiria kumfurahisha boss wake.Yaani
Yaani matokeo yake viongozi wengi kazi zao zinaishia kuwa kupokea,kusindikiza na kuaga Airport , kuhudhuria uapisho na mikutano.......... kazi iendelee.
Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.Watanzania wa fb ,tweeter ,jf ,insta vituko ni vingi
wakati huo wewe mwenye kadi ya ccm ukituma pesa hukatwi makato na tozoπ πWapuuzi na wajinga kama nyie ndiyo mlijifanya mnamuelewa kwani ilikuwa ni kulipa visasa tu. Tuliwaeleza mkatuchukia tu na bado. Hatutakoma kuwakumbusha
Wewe sijui hata tukuweke kategori gani. Ule uhuni aliofanya yule mwenye laana magufuli ndio unaita uchaguzi wa Lissu kushindwa?? Anyway kikubwa Mungu amelitwanga kifo sasa hivi i limebaki mafuvu huko kuzimu.Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.
Hawa ndo walimfanya Lissu arudi speed ya radi akijua atashinda asubuhi,kilichompata atakisimulia Ikungi mpaka Israel atakapomuita.
Akaitisha maandamano happy ndo alijua JF anaweza akawa mtu mmoja na ID ishirini.
Mwendazake alijua wapiga kura Halisi wako kijijini ndo maana Kila Kijiji alitia timu,akimuacha mzee wa Ubelgiji kuswampa mjini kwa vijana ambao hata siku ya kupinga kura wanafuata madili ya pesa ya siku moja,wakipuuza maamuzi ya siku moja yatakayo wathili miaka kadhaa.
Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.
Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya:
1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo).
2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko.
3. Kuongeza kodi na tozo kwa wananchi katikati ya janga la Corona (wakati vigogo kodi haziwahusu).
4. Kuendelea kujikongoja na vita dhidi ya gonjwa la Corona (wakati vigogo mko salama).
5. Kuendeleza sera kandamizi dhidi ya haki za watu kujumuika.
6. Kutokuchukua hatua thabiti kulingana na ripoti za CAG.
7. Kuendekeza uwepo wa takrima kwa vigogo usiokuwa na tija.
8. Kunyamazia ukiukwaji wa katiba bungeni kuliko hata na wabunge kharam.
Haya yanataka matamko yako thabiti yenye kuzingatia sheria na katiba ya nchi ili kuyaweka sawa.
Kwenye majanga yanayo athiri moja kwa moja watu kiuchumi, kodi na tozo hupunguzwa, haziongezwi.
Machungu ya ukweli huu bila shaka ndiyo yaliyomfikisha mzee baba hapa:
View attachment 1859149
Vipi anapata kodi katikati ya gonjwa hili? Uamuzi wake wa kukomaa (rudimentary) tu kuwa ugonjwa huu haupo in desperation, mtu anaweza kuuelewa.
Kwa hakika tulipo, hakuna haja ya kumlaumu dobi. Kaniki ni rangi yake.
Ninawasilisha.
Samia nchi imeshamshinda siyo siri sasa kabaki KUDEMKA TU!
Endeleeni kula CoronaπππAshakhum mkuu, temea chini.
Nyama ya ngedere wengine twala, ni tamu, laini kama ya digi digi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo magurupu ukiyasikiliza utafikiri ni 85& ya wapiga kura,kumbe ni 0.02& ya wapiga kura.
Hawa ndo walimfanya Lissu arudi speed ya radi akijua atashinda asubuhi,kilichompata atakisimulia Ikungi mpaka Israel atakapomuita.
Akaitisha maandamano happy ndo alijua JF anaweza akawa mtu mmoja na ID ishirini.
Mwendazake alijua wapiga kura Halisi wako kijijini ndo maana Kila Kijiji alitia timu,akimuacha mzee wa Ubelgiji kuswampa mjini kwa vijana ambao hata siku ya kupinga kura wanafuata madili ya pesa ya siku moja,wakipuuza maamuzi ya siku moja yatakayo wathili miaka kadhaa.
Haaa haa haa ππππ.
Ungefunguka tu zaidi mkuu. Hapo kwenye red ndipo kulikuwa kwake:
View attachment 1859675
Mwendazake aliwekeza kwenye ujinga wao na kuwa osha bongo vilivyo.
Kimsingi aliwafanya kuwa vyawa au misukule yake kamili akiwa hai au mfu πππ!
Cc: BAK
Sentensi yako ya mwisho ya kusema ...kuifahamu mars.. ukimaanisha kukiri kuto kuushuhudia utawala wake, umefanya jambo jema sana kuliweka wazi jambo hili.Una maana Nyerere huyu huyu:
1. ambaye wanae walikuwa wakisoma kwenye shule hizi hizi kama watanzania wengine?
2. ambaye alithamini mawazo tofauti na yake?
3. ambaye alipenda kama watanzania tushindane kwa hoja?
View attachment 1859574
Niendelee kuandika kumhusu gwiji huyu aliyefuzu kuacha legacy?
Kumbuka kuyajua ya Mars si lazima kuwepo huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Sentensi yako ya mwisho ya kusema ...kuifahamu mars.. ukimaanisha kukiri kuto kuushuhudia utawala wake, umefanya jambo jema sana kuliweka wazi jambo hili.
Nyerere hupewa sifa za ziada kwa kuwa tu ni mwanzilishi na muasisi wa taifa hili kusiasa, lakini si kwa utawala bora na wa kidemokrasia kama unavyodhania.
Haya yote unayoyaona hivi sasa mfano kesi za ufisadi na uhujumu uchumi za kutokuwa na dhamana zina nafuu kuliko sheria zake kandamizi za kuweka watu kizuizini enzi hizo!
Hapakuwa na vidomo domo kama ilivyo hivi sasa ambapo hata kuna uhuru wa kuongea kwa key board, zamani ukionesha upinzani wa fikra wazi wazi unakuwa ni 'adui wa taifa', ni ndani kizuizini ama unapewa kifungo cha nyumbani cha kudumu unasahaulika.
Alikuwa mpenda vita, kila nchi anapeleka majeshi na misaada, wakati huo huku nyumbani wananchi wakiishi maisha hohehahe chini ya kiwango cha umaskini nk.nk.
Ni mengi sana ya hovyo kuyasema na kuyamaliza yote hapa.
Itoshe tu kusema kwamba kama Nyerere umemjua kwa kupitia historia, basi M/Mungu alikuepusha kuyaishi maisha dhalili sana kisiasa na kiuchumi hapa nchini Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Mkuu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoweza kuamini.Mkuu heshima kwako. Kama binadamu walio tofauti na wanyama wengine kuwekeza katika kuyajua mambo ni muhimu sana. Hizi ni baadhi ya nukuu zake hayati baba wa taifa:
TOP 25 QUOTES BY JULIUS NYERERE | A-Z Quotes
Discover Julius Nyerere famous and rare quotes. Share Julius Nyerere quotations about decisions, evil and poverty. "Education is not a way to escape poverty..."www.azquotes.com
Achilia mbali videos zilizopo. Nyerere aliishi Msasani kwenye nyumba ya kawaida. Hakujilimbikizia mali. Nyerere alikuwa mwenzetu.
Nyerere aliyaishi aliyokuwa akiyahubiri.
Yuko wapi hapa wa kumlimganisha naye?
Rest Easy kamanda[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Tulivyokua tunawaambia hakuna rais mlikua mnatuona machiz,, na bado
ccm ni walewale wahafhina waporaji wa rasilimali zetu.Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia.