Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao.
Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma.
Tujisahihishe. Bado hatujachelewa
Pia soma: Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...