Tafuta kamba, hata ya majani ya mgomba. Yaani hata huwezi kujifanya wewe ni chawa?Tusio na kamba twafwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kamba, hata ya majani ya mgomba. Yaani hata huwezi kujifanya wewe ni chawa?Tusio na kamba twafwa!
Mmh! Mkuu kipawa cha kujichetua na kumpa mtu sifa za uongo Sina.Tafuta kamba, hata ya majani ya mgomba. Yaani hata huwezi kujifanya wewe ni chawa?
Kama hatoshi Kwa nini waogope hao wazito? Wewe unatosha?Kiukweli kabisa, hyu mama hatoshi basi tu!.
Hata wazito ndani ya ccm wanajua sema kamwe hawawezi kusema hadharani!.
Msio na kamba ndio hamna mpaka mnakula mtakavyoTusio na kamba twafwa!
Anataka vitumbua!Mbuzi kagoma........kula nyasi
Huyu rais kweli anatamka maneno haya? Yani unawaambia watumishi waibe? Hizi ni laana kwakweli.
Hii ni aibu kwa hii nchi.
Atajirekebisha naaminiMoja ya kauli za kipumbavu sana kuwahi kutolewa na kiongozi yeyote duniani.
Hata yule Rais mjinga zaidi duniani (yule Bokassa wa Afrika ya kati), hakuwahi kutoa kauli ya hovyo kama hii.