Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Unataka awakemee; na yeye mwenyewe ajikemee. Utaamini kukemea huko?

Ni ajabu kidogo kwa baadhi ya watu kutaka wambadili Samia kwa vimaneno huku mwenyewe alikwisha jibainisha kwa ku jieleza na kuonyesha matendo halisi tokea achukue uongozi.

Hebu tueleze kaunda chombo kipi kinachosimamia "maadili na miiko ya viongozi..." ; au hata kuhimiza vilivypo vifanye kazi vilivyoundiwa?
Takukuru, si hiyo hapo, huoni maigizo wanayofanya?
 
Walishakata kamba zamani saa hizi wako shambani kwa Mkude
 
You nailed it
 
Acha utoto yaani uibe Kwa ushenzi wako uje kumsingizia Rais? Wewe kula Nje ya kamba ukidakwa uje useme Rais alisema Nile Kwa urefu wa kamba yangu.
 
Rais aliwataka mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao. Mimi natafsiri aliwaruhusu kuiba, lakini kwa akili wasijekamatwa- ndio maana ya urefu wa kwamba.
Sasa wewe ulitaka wale Kwa urefu wa kamba ya nani? Kiswahili ulipata ngapi std 7 na form 4?
 
Maskini sijui watapingaje hapa! ameendelea kusema anajua wanakula ila wajipimie ili wasivimbiwe! aisee
 
Hii kauli kwa kweli ina ukakasi mkubwa san.Inatakiwa isafishwe ili wengine wasije wakaitumia vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…