Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

Acha kujipa upofu na kujilazimisha kuwa mpumbavu.

Samia ametoa mifano mingi jinsi miradi inavyokuwa haikamiliki kutokana na ufisadi uliopitiliza(Kula hadi kuvimbiwa) na ametoa mifano ya miradi ya meli pamoja na barabara.Halafu unadai kuwa hazungumzii ufisadi?!

Unavyojilazimisha kuwa mpumbavu unapata faida gani?
Your browser is not able to display this video.
 
Kuleni sana lakini msivimbiwe. Na kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake na muelewane, najua mnakula sana lakini kuleni taratibu.

Kweli mkuu kuna uzanzibari hapa ambao sisi wabongo hatujui kitu??

Hatarii sana aisee. Acha walio juu waendelee kuneemeka mpaka 2025 tuwape tena hadi 2030 na kuendelea na kuendelea
 
Mkuu una hasira kali. Ila watu waliosoma LINGUISTICS ....hapa watakupuuza sana.

Im not concluding..nimetoa mawazo yangu.
Na tunayaheshimu, ila mkuu wa nchi ameonyesha udhaifu wa hali ya juu kabisa. Ila nini mkuu, endelea tu kumsafisha, huenda nawe una kamba yako huko unajipimia ili usivimbiwe. One love
 
Rais amelewa madaraka kwa kweli anaongea kama Bosi wa idara au mtu na familia yake nyumbani.
 
Huyo siyo Rais ni galasa tuu ,Hivi kweli unawaruhusu akina Biteko kwenye madini, Akina Kipara, n.k watu ambao hawana uchungu na nchi Jana Niliumia Sana as if nchi ni kwangu peke yangu, huyu mama alitakiwa arud kwao akaimbe taarabu anatuharibia Tanganyika yetu.,Katiba Bora inahitajika
 
Nilitaka nisema heading ya uongo, ila baada ya kuona video nimeshangaa zaidi ya kushangaa, jamani, kiongozi wa namna gani huyu?!
 
Hizi ni kati ya kauli dhaifu kabisa kutamkwa na mkuu wa nchi. Madhara yake ni kuhalalisha ufisadi kwa urefu wa kamba ya mhusika. Very bad.
Alichosema ni kwamba akina Makamba na Nape wale ila wasile hadi wakashtukiwa, waibe kwa ustaarabu wasije wakavimbiwa, yaani Rais wa nchi yetu ndio katoa agizo hilo!
 
Hahahaha ndo kasema ivo binafsi huyu bi chifu hangaya SIMFATILII KABISA
 
Nimesikiliza hiyo clip asubuhi kwa kweli nimestika sana, yaani huyu mama anaonekana anajua kwamba watumishi wa serikali wanajua namna anavyoiba na maelezo yake ni kwamba na yeye anajua wanaiba.

yaani Rasmi
Sifa Msingi ya magufuri ilikuwa ni Uwongo.
Ya huyu mama naona inaelekea kuwa wizi.

sijaelewa walipa kodi hawajaanza kuandamana kulazimisha aondoke madarakani ni kwanini?
 
The world is not fair aisee yaani huku kwetu cement 20,000 kutoka 14,000 nondo mm12 30,000 na vingine vingi tu vimepanda yeye anawaambia mawaziri wajipigie ila wasivimbiwe inamaanisha washibe ila wasishibe sana aisee!! Poor speech ever kutoka kwa mkuu wa nchi
 
JK on fire..hahahahaha na nasikia kaongezewa ulinzi..mama kajua haya niliyoyateua ni mabigaji na marafi ila nayaambia yasivimbiwe
 
Bila shaka fyuzi za ubongo wako zimetoka yaani speech ipo clear kabisa unatafuta kujifariji duuu...
 
You know they eat and you encourage them to eat moderately? Then why should we combat corruption?
You know they eat and you encourage them to eat moderately? Then why should we combat corruption?
 
Bila shaka fyuzi za ubongo wako zimetoka yaani speech ipo clear kabisa unatafuta kujifariji duuu...
Huyo jamaa mjinga akili yake imeathirika kwa kazi za kitumwa anazofanya kule Denmark.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…