Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Tusubir wizara ya usagaji na ushoga maana naona mambo yamepita mengi ila wamelala mpaka wanasheria wameanza kutetea dhambi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi uingie google utafute mtanange wa ‘medical model of disability’ vs ‘social model of disability’.hapo kwenye bold
Unyanyapaa ni hata kujikataa ulivyo na kujisikia inferior kwa hali halisi uliyonayo.
Unapofikia mahala neno disabled likaonekana negative basi hata mtu mzima nalo ni neno dhalili kabisa.
Kwa mfano neno Zeruzeru ambapo ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi tumeliona ni tusi badala yake tunasema albinism ambapo tafsiri yake ni zeruzeru.
Kutojitambua na kukubaliana na hali yako hakukuweki mbali na kujinyanyapaa
MfanoInabidi uingie google utafute mtanange wa ‘medical model of disability’ vs ‘social model of disability’.
Iliyopelekea kuonekana neno ulemavu ni political incorrect, na ‘special needs’ ni sahihi zaidi.
Kama nilivyokueleza ata walemavu wakisaidiwa wanaweza kuishi independent kama mahitaji yao (mapungufu yao ya uwezo, yakiwezeshwa).
It has nothing to do inferiority on change names, rather policy perspective and shaping of social thinking.
Ni ngumu kudadavua sana sera zenyewe kwa sababu kwa bongo ata hatuna hizo sera.
Kiwete ukimpa mguu bandia anaweza fanya kila kitu unachoweza.Mfano
Kiwete ni mlemavu wa miguu au mguu
bubu ni mlemavu asiyeweza kuongea
kiziwi mlemavu asiyesikia
nimetoa mfano tu.
enewei tuishi watakavyo hao makundi maalumu
neno ulemavu halina maana kuwa ndiyo fate bali ni uhalisia wa kimuonekano..Kiwete ukimpa mguu bandia anaweza fanya kila kitu unachoweza.
Bubu ofisini kukiwa na mtu mmoja anaweza ongea sign language kumsaidia inapohitajika anafanya kazi kama wewe.
Kipofu pia ofisini kuwa na mifumo ya communication zao anafanya kazi pia, ata ‘Amos Mpanju’ aliekuwa katibu mkuu wizara ya sheria ni kipofu kabisa.
Hizo ndio sababu wanasema kuita watu walemavu ni stigma mbovu zinazochochea taasisi kuweka mipango au kufanya uwekezaji wa kimazingira unaosababisha walemavu kuwa excluded.
However special needs ni more acceptable inaashiria ndio wanamapungufu ila kwa msaada wa kutatua changamoto zao wanaweza ishi vizuri.
Hoja kubwa ni ushiriki wao kikamilifu katika shughuli za ki jamii na kuongeza independence.
Haya mambo yanataka uelewa ethical arguments zake, vita kubwa ni kupambana na stigma ndio msingi wa kubadili hayo maneno.
Nimalize kwa kusema ni ngumu kuona logic ya tofauti kama maswala ya morality, political ethics and health management kuelewa connotations za labels na jitahada za kisera kuondoa stigma.neno ulemavu halina maana kuwa ndiyo fate bali ni uhalisia wa kimuonekano..
Nabii Isaya alikuwa na kigugumizi lakini alifanya kazi ya Mungu sana
Nimalize kwa kusema ni ngumu kuona logic ya tofauti kama maswala ya morality, political ethics and health management, health policies formation sio background yako kuelewa connotations za labels, on social attitudes na jitahada za kisera kuondoa stigma.neno ulemavu halina maana kuwa ndiyo fate bali ni uhalisia wa kimuonekano..
Nabii Isaya alikuwa na kigugumizi lakini alifanya kazi ya Mungu sana
Ile mikopo ya asilimia 10% za mapato ya ndani ya Halmashauri zetu imeelekezwa kwa akina nani?Nimalize kwa kusema ni ngumu kuona logic ya tofauti kama maswala ya morality, political ethics and health management, health policies formation sio background yako kuelewa connotations za labels, on social attitudes na jitahada za kisera kuondoa stigma.
Tuishie kwa let’s agree to disagree on the matter.
Hiyo sasa argument nyingine mie nilikuwa kwenye title ya wizara hasa kuondoa neno kundi la watu wenye mahitaji maalum.Ile mikopo ya asilimia 10% za mapato ya ndani ya Halmashauri zetu imeelekezwa kwa akina nani?
Uko vizuri nimependa arguments zako mkuu 🙏Nimalize kwa kusema ni ngumu kuona logic ya tofauti kama maswala ya morality, political ethics and health management kuelewa connotations za labels na jitahada za kisera kuondoa stigma...
Nilikuwa najaribu kujenga hoja hasa kwenye mantiki ya phrases za kutumika bila kuleta mikingamo.Hiyo sasa argument nyingine mie nilikuwa kwenye title ya wizara hasa kuondoa neno kundi la watu wenye mahitaji maalum.
Laters kuna errands hapa za kumalizana nazo.
👋
Wizara inaitwa kundi lenye mahitaji maalum ‘special needs’Nilikuwa najaribu kujenga hoja hasa kwenye mantiki ya phrases za kutumika bila kuleta mikingamo.
Kwenye wizara kwa kuwa inabeba sera za Taifa nadhani ipo haja ya kuweka mizanina hasa katika jina na malengo ya wizara ambayo yanainclude Vision na Mission.
Makundi maalumu kwa uhalisia wa nyakati tulizonazo yanaleta tafsiri isiyonyooka ambapo huishia kujenga dhana ambayo inaweza kukubalika na jamii kuwa ndiyo msimamo wa Serikali
Ewaaa now inakuja na inaleta nadharia sahihi.......Lakini kundi lenye mahitaji maalum ni disabled only.
Jiandaeni kulana viboga si mlifurahia mama anavyopewa mabilioni na mabeberu,🤣🤣🤣Serikali inabugi mambo mengi sana.. serikali iko na mambo ya ajabu sana. Upigaji tu
Umaskini mbaya sanaWandengereko tunasema Imbombo ngafu naloli
Shida ni hilo neno ulemavu ndio kuna watu wanaliona lina ukakasi.Ewaaa now inakuja na inaleta nadharia sahihi.
Neno WENYE ULEMAVU badala ya WALEMAVU linaleta political correctness kuliko madhania ya hapo kwenye kundi maalum. Dhana ina muktadha wake ambao unaweza kueleweka kijamii ama kupotoa maudhui.
Labda nisiwe mbishi sana kwa sababu sisi wasomi wa mitaani tunatofauti sana na wasomi wanazuoni.
Wakija wanazuoni wa lugha hapa wanaweza kutujengea uelewa mpana sana zaidi
Mashoga pia ni kundi maalumUko sahihi mkuu ukisema jinsia ni wanawake na wanaume halafu pi makundi maalum vilema watoto wazee na wanawake pia kwa hyo?? Hyo jinsia inasimamia Nini wabadilishe kwa kwel
Vulnerable group sio special needs ni vitu viwili tofauti.Kundi maalum linabeba yule kiwete wa ubelgiji, Juma Lokole na askari wa Unguja 😀😀😀