Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Duh!!! Mbona WATANZANIA tunakuwa hivi? Hivi ni kweli SCOPE YA MAKUBALIANO ni special economic zote? Mbona tunapenda sana kupotosha na kulisha watu MANENO???

Are you serious hata HUJUI KUWA MKATABA una SCOPE???

Kinachozungumziwa ni MAPUNGUFU ya baadhi ya VIPENGELE na sii kuuzwa NCHI NZIMA....


Angalau basi onesha professionalism na maturity.....

Mtu mzima akiongea huwa tunaamini ana ufahamu na amefikiri kabla ya kuongea, sasa mbona ni TOFAUTI kwako!??? Unaanza kuongea kwanza halafu ndiyo unafikiri???
 
Rais anaposafiri kwenda nje ya nchi huwa anakupigia simu kukujulisha?.
 
Well said brother.
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Fafanua sasa tujifunze kwako ..acha majigambo
 
Umesoma hicho kipengele kwa usahihi? Tena wameenda mbali na wameandika The Government of Tanzania "Shall" kwenye kipengele ambacho akitaka eneo lolote yeye au kampuni aliyopendekeza (Relevant company) basi apewe na serikali ihakikishe hilo linafanyika "Shall"
 
Wewe mwehu, Kwaiyo wewe ndiyo unajua sana sheria kuliko Isa Shivji,Tundu Lissu na Dr Lugemeleza Nshala!!
Huoni ata aibu,kama mmekula Hela ya Mwarabu jiandaeni kuliwa!
Yani kunamijitu Iko nchi hii inazani usomi ni vyeti ...shame
 
Kwa sababu inawezekana hatujui au ni wavivu ngoja nikusaidie... Soma scope attachment ya kwanza na nenda kwenye attachment ya pili uone hayo maeneo yaliyotajwa..

Tusiwe watu wa kukurupuka
 

Attachments

  • Screenshot_20230730-150803_Adobe Acrobat.jpg
    145.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230730-150914_Adobe Acrobat.jpg
    227.8 KB · Views: 1
Kwa sababu inawezekana hatujui au ni wavivu ngoja nikusaidie... Soma scope attachment ya kwanza na nenda kwenye attachment ya pili uone hayo maeneo yaliyotajwa..

Tusiwe watu wa kukurupuka
Hapo someni scope halafu semeni hiyo kuuzwa nchi kunatoka wapi???

KESI INAENDELEA MAHAKAMANI, KWANINI TUSIWE WATULIVU TUSIKIE MAAMUZI YA MAHAKAMA??

Are we real up to attain justice or just FIGHTING for political gain??? Mbona tunadanganya wala HaTUONI aibu? Kwa MASLAHI ya TAIFA au MASLAHI ya kutaka kuingia IKULU???
 
HATUNA LA KUFANYA IN SHOT , MAANA GHARAMA ZAKE SS NDO TUTALIPA
 
Uhuru wa Tanzania,ulipatikana bila kumwaga damu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Umeandika kweli tupu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu inawezekana hatujui au ni wavivu ngoja nikusaidie... Soma scope attachment ya kwanza na nenda kwenye attachment ya pili uone hayo maeneo yaliyotajwa..

Tusiwe watu wa kukurupuka
Hivi wewe unajua kuwa scope ya mnachoita agreements (Sijui kama Bunge huwa linajadili agreements) imetamka kuwa mwekezaji yupo huru kuchukua aneo lolote lile analoona lina maslahi ndani ya Tanganyika na serikali imelazimishwa kuhakikisha hilo linatendeka kwa haraka? Kwa ufupi anao uwezo hata wa kuichukua Kariakoo na kufanya eneo lake la uwekezaji na mbaya zaidi amejiwekea scope ya kuingiza kampuni yoyote nyingine ifanye kazi kwa niaba. Hivi mtu timamu unaenda kusaini mkataba wa kuiuza nchi halafu unasema tusijadili!
 
Niseme uelewa wa sheria ni mdogo sana. Na wengi ni wajuaji. Itoshe kusema hayo. Hiyo statement ni general sana. Ukiulizwa ni ziwa gani limeuzwa huna cha kujibu.
 
Huyu Bibi sijui waarabu wamemfanya nini mpaka amefurahi mnoo. Sijui Kahonga nchi kwa makusudi au katepeliwa🤔🤔
 
Yaani watu hawajashituka tu kwa mkataba huo lengo kuu la DP ni kucontrol biashara zote hapa nchini.

Wao ndio watakaosimamia kuingiza mizigo yote na kuisafirisha mpaka point of destination.

Kifupi wenye malori na clearing and forwarding zote zinakwenda kuathirika.

Dp wanakwenda kuleta kilio kwa watu wote.

Walio ingia makubaliano hayo ni watu waovu kuzidi shetani mwenyewe.
 
Niseme uelewa wa sheria ni mdogo sana. Na wengi ni wajuaji. Itoshe kusema hayo. Hiyo statement ni general sana. Ukiulizwa ni ziwa gani limeuzwa huna cha kujibu.
Kifupi tumedungwa .kama ni mimi dp ningewanyolosha mpaka muite maji maaa. Hamuwezi kuwa viazi kiasi hiki
 
Hawana hoja. Wanapuyanga tu
Naona mko wawili tu ONJO, Lord denning na si muda mrefu atakuja FaizaFoxy

Mimi naamini nyie ni viongozi waandamizi huko CCM. Na siamini kama hamna akili. Kama vichwa vyenu ni timamu kwelikweli, sasa shida iko wapi? Kuna ugumu gani kwani kukubali kuwa mmekosea?

Nchi hii imesaini IGA ngapi kwani? Kwanini hii inaleta shida na mjadala hatari kama huu? Ni wazi kuwa lipo tatizo!!

Muungwana akivuliwa nguo, basi huchutama ili kuficha uchi wake!!.

Ninyi mna akili gani? Mbona mnaendelea kutembea mkiwa uchi hivyo hivyo bila hata kuona aibu? Au mmewehuka aisee?

Kama ni wehu, basi nchi hii haiwezi kuongozwa na wehu tena..!
 
Huyo kichwa maji ni sifuri brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…