Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Duh!!! Mbona WATANZANIA tunakuwa hivi? Hivi ni kweli SCOPE YA MAKUBALIANO ni special economic zote? Mbona tunapenda sana kupotosha na kulisha watu MANENO???Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Are you serious hata HUJUI KUWA MKATABA una SCOPE???
Kinachozungumziwa ni MAPUNGUFU ya baadhi ya VIPENGELE na sii kuuzwa NCHI NZIMA....
Angalau basi onesha professionalism na maturity.....
Mtu mzima akiongea huwa tunaamini ana ufahamu na amefikiri kabla ya kuongea, sasa mbona ni TOFAUTI kwako!??? Unaanza kuongea kwanza halafu ndiyo unafikiri???