Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
nchi zinauzwa kwa magna rushwa wewe, waacha watu weseme nchi imeuzwa na huo ndio ukweli, nchi imeeuzwa na tunarudia imeuzwa,

umeona dpw imesimama majukwaani kujitetea? nchi imeuzwa.
 
Kwa kuongezea tu...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?

Chuki kwa waislamu zitawamaliza
 
Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Kujua haya inabidi ujibu hizi hoja..., maana ni bora angeuza kuliko alivyotoa zawadi

Lete huo mkataba unaosema "tumeuziana bandari kwa bei kadhaa" kama wewe ni kidume tuwekee hicho unachodai!

Chuki dhidi ya waarabu na waislamu kwa ujumla zitawamaliza
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?

Watu tumetoka kanisani, si mtuache leo tupumue, kwanini mnatupa pressure Jpili yote hii, moyo na roho yangu ishachafuka... post this hata Jtatu plz.
 
Lete huo mkataba unaosema "tumeuziana bandari kwa bei kadhaa" kama wewe ni kidume tuwekee hicho unachodai!

Chuki dhidi ya waarabu na waislamu kwa ujumla zitawamaliza
Sasa kafanya nini kama kahamisha rasilimali siyo kuuza ni nini?
 
Lete huo mkataba unaosema "tumeuziana bandari kwa bei kadhaa" kama wewe ni kidume tuwekee hicho unachodai!

Chuki dhidi ya waarabu na waislamu kwa ujumla zitawamaliza
kama uislam unafundisha wizi acha tuuchukie, lakin sheikhi uislam hauko hivyo usijifiche kwenye uislam maana hautaki wezi, mwislam yeye mwizi hatetei uislam, wala mtumwe wetu S.A. hafundishwi ufedhuli kama huo, atende haki kwa Tanganyika kama alivyotenda kwa zanzibari kutoweka bandari za zanzibari
 
LLo
Alienda kimya kimya kwa mujibu wa nani
Lord Denning alikuwa ni jurist mbobevu sana huko UK na maamuzi yake yamekuwa ni precedents nzuri sana na hata obiter dicters zake ni moto sana!
Sasa wewe Kilaza, Chawa na Mchumi tumbo kutumia Jina la Lord Dennings ni aibu na unaweza kupata laana za kujitakia.
Wewe jiite hata Zembwela Mwijaku Kitenge ndo hadhi yako!
 
Mimi ni mbobezi kweli! Ndo mana hoja zangu humu hazijibiwi watu wanaishia kutukana tu
 
Nchi hii imepiganiwa, damu za watu zilimwagika ili iwe urithi wa wawatoto na wajukuu na vitukuu vyetu
Hapa umeongopa. Tanzania imepata uhuru wake bila ya kumwaga damu.

Kama Kuna nduguyo damu yake ilimwagika atakuwa alifanya ugoni tu
 
Kuna shida gani ya kujibu maswali yangu ili kuthibitisha huo uuzwaji?
Nakubaliana na wewe, ni kweli hakuna uuzwaji uliofanyika. Kilichotokea ugawaji bure wa bandari zote za Tanganyika, kwa muda usiojulikana na kwa malipo yasiyojulikana.

Na ugawaji huu ni kwa mkataba wa milele kama ule alioingia chifu Mangungo wa Msovero miaka takribani mia moja iliyopita.

Hoja yako hapa ya ugawaji au uuzwaji imepata majibu?
 
Tatizo ni lugha tu.

SEHEMU YA PILI WAJIBU WA JUMLA KIFUNGU2 LENGO LA MKATABA

Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo unaofunga kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na ziwa, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji, ukanda wa biashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania.

Maeneo ya ushirikiano pia yanajumuisha kujenga uwezo, uhamisho wa ujuzi, ujuzi na teknolojia, kuimarisha taasisi za mafunzo na msaada wa akili wa soko.
 
Back
Top Bottom