Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mwaka 2028 tunapata katiba mpya, uchaguzi wa 2030 unafanyika kwa mujibu wa Katiba mpya na Samia anagombea kwa mujibu wa masharti ya katiba mpya!2030.
Si ndio maana ni tabaka la mwisho duniani!! Unafikili ni bahati mbaya ndio race inayopuuzwa kabisa duniani,? Sababu ya uwezo wetu wa ku "reason" kuwa wa namna hiiWaafrika tunawaza kutawala tuu
Katiba mpya na mambo mapyaHiyo katiba mpya lazima izuie marais waliopita kugombea, unless unachokitafuta na huu uzi wako utakipata.
OkeyMwaka 2028 tunapata katiba mpya, uchaguzi wa 2030 unafanyika kwa mujibu wa Katiba mpya na Samia anagombea kwa mujibu wa masharti ya katiba mpya!
Anatawala vipindi vyake vingine viwili kwa mujibu wa masharti ya katiba mpya, eventually kiujumla atatawala 9+7+7=23
Au 9+5+5=19
CHama kipi tena,ccm Wana utamaduni wa kumuacha raisi aliyeko madarakani agombee bila kuwa na mpinzani kwenye kura za maoni,rejea chaguzi za maraisi waliopita.2030 iwapo atapitishwa 2025 na chama.
Mwaka 2028 tunapata katiba mpya, uchaguzi wa 2030 unafanyika kwa mujibu wa Katiba mpya na Samia anagombea kwa mujibu wa masharti ya katiba mpya...
kutawala na kula bataWaafrika tunawaza kutawala tuu
We jamaa utakuwa mdini, ndiyo tatizo la watanzania wengi, kwa sababu ni mzanzibari na muislam basi humchukii kama ilivyokuwa kwa Magufuli.Katiba mpya na mambo mapya
Mwalimu Nyerere alitawala kwa miaka 24 (1961-1985).
Kwa mujibu wa katiba ya sasa iwapo rais Samia atatawala kwa katiba ya sasa bila kuibadili, anaweza kutawala kwa muda wa miaka 9, Lakini akileta katiba mpya kabla ya mwaka 2030, maana yake ataanza upyaaa kwa katiba mpya, na hatofungwa na masharti ya vipindi viwili vya katiba ya zamani!
Tena basi akitengeneza katiba mpya ya vipindi viwiliviwili vya miaka Saba saba, maana yake ana potential ya kutawala 9+7+7=23
Mama ashindwe yeye tu, lakini njia ya kutawala miaka 23 nyeupeeee, ajipange tu
Kama Jpm alivyoKama hiyo ndiyo ^Katiba Mpya^ inayotafutwa kwa jasho na damu, afadhali ^car-bee-sir^ tu tuendelee na hii ya sasa kwa miaka 1,000 ijayo!