Rais Samia huenda akatawala kwa muda mrefu kama Nyerere

Washindani wako unasumbua kupitia TRA, Tiss, Wengine unawafukuza uanachama.
Ukishakuwa Amiri jeshi mkuu na Mwenyekiti wa chama unaweza kuwapelekapeleka wengine utakavyo, ilimradi uwe kauzu
Ni kweli ila Still unatakiwa uruke hivyo viunzi. Sasa unataka nafasi ya uraisi huna ushwawishi TRA, Tiss?
 
Naunga mkono hoja nani kama mama!! Waliona mazuri kuyasema kipindi cha Magu na sisi tunasema samia atake asitake atatawala miaka 23
Wewe ni mchumia tumbo,self centred na mpigaji tu, huna lolote.You deserve to be in hell.
 
Sidhani kama anaweza kufanya hivyo ingawa mamlaka anayo.
 
Akijitahidi Sana atatawala mpaka 2030 . Haitawezekana aendelee baada ya hapo

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…